Magufuli aliweza vipi kwa Miaka 5?

Wale waliomchangia DOCUMENTARY YA ROYAL TOUR hadi kashindwa kuwataja awalipi kodi ndio kaamua kuja kutubana wenye vipato vidogo.
 
Hukusikia Wahujumu uchumi wakina Sethi na wenzake?

Wakati Watanzania karibu wote ni wahujumu uchumi kulingana na sheria za Kodi.
Au kisa Sisi ni masikini???
Naww hukusikia kilichopelekea kukamatwa,usijifanye hujui na hujui kaa kmya.
 
Acheni kulialia na kufukua makaburi,imebaki mifupa tu sasa,
Tozo zinaletwa na mafuta na mafuta ndio putin ,
M7 kaambiwa atapewa mafuta ya karibu na bure na putin lakini katoa nje ndio mjue hii dunia inaendeshwa na babalao la tozo USA .....
ambaye anasema "There is No such thing as Free Lunch"....

Ishi maisha ya sasa au kajitundike.... nenda jipange upya ili watoto waende choo...hata utapike vipi hakuna kitakacho badilika, Tozo ni kwa kwenda mbele....endeleeni kulialia
 
Who is not an evil in the CCM government?Kikwete became rich after coming out of power,where did he get all those wealth,if not plundering and looting of our national resources!!
Kikwete was a rich even before to be a leader in this country because he was born from the wealth family and this kind of hate late behaviors you impose to compare the family of Kikwete and Magufuri is nonsense although all are Tanzanian but you are supposed to know that there are in different in many things,such as Region,Religion,Tribe,Culture,shape,wisdom,education,life history and capacity of thinking.
 
Hakuna nchi yenye hofu ya Mungu Hilo tuliweke Sawa.

Pili, hakuna nchi iliyoendelea ambayo watu Masikini hawalipi Kodi.

Kodi inakatwa Kwa percentage,
Ukitoa 10% ya elfu na aliyetoa 10% bilioni moja wote ni Sawa mmechangia nchi Kwa uwezo wenu.

Lakini sio usitake kutoa Kodi kisa umasikini, labda uwe Mzee, mtoto, au mgonjwa.

Hutaki kutoa Kodi Acha kuishi, rahisi Sana.
Alafu mtu Kodi hataki kutoa kisingizio umasikini wake lakini kuzaa watoto wengi yeye, kuoa wake wengi yeye, kunywa pombe Yeye,
Kama anapata pesa za hayo, iweje akose Tsh 100 ya Kodi Kwa ajili ya nchi yake ambayo anaishi Kwa Amani.

Au anafikiri ulinzi na usalama ni Bure?

Niliwahi kusema, Kama hatutavamia mataifa mengine basi option tuliyobakiwa nayo ni kukamuana Sisi Kwa Sisi.
Unasound kama mtu smart, umeeleweka vyema sana
 
Magufuli aliweza vipi kuendesha nchi kwa miaka 5 bila ya kuwaminya Wananchi kwa kodi na tozo?

Na msiniambie alikopa kwani mpaka Samia anaingia debt to GDP ratio Tanzania ilikuwa one of the lowest Duniani na ndani ya mwaka mmoja deni limeongezeka kwa > 50% sasa aliweza vipi kulipa Mishahara, kujenga Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Bandari, Airports, kununua ndege na kufufua shirika la Airtcl, kujenga na kuweka Meli karibia kila Ziwa kubwa Tanzania, kujenga Madaraja kama mto Wami hapo hapo kujenga Dodoma kama Mji Mkuu?

Nijibuni aliweza vipi ? Magufuli was a genius, sasa hivi vilio kila mahali na ndio mwanzo tu, …
Uliza pesa za wafanyabiashara benki zilikwenda wapi pia? Uliza matrilioni ya mikopo yalikwenda wapi pamoja na kodi lukuki alizokuwa anatutangazia kupata.
Huyo mjanha abaki huko huko kaburini ametusababishia matatizo mengi.
Mkitaka Samia aseme vyote mtakufa mapema.
 
Kuwa na akili ata kwa dakika mbili kenge wewe,kwa mleta mada hajui jpm na marehemu,watu wanaongelea vitu vya msingi wewe unaleta chuki zako kama vile marehemu alikuachia dole mqunduni ovyooo kabisa.
Unaonekana una gubu sana.Kuna uwezekano kuwa huwa unalalamikalalamika hata wakati wa kufanya matusi.
 
Magufuli aliweza vipi kuendesha nchi kwa miaka 5 bila ya kuwaminya Wananchi kwa kodi na tozo?

Na msiniambie alikopa kwani mpaka Samia anaingia debt to GDP ratio Tanzania ilikuwa one of the lowest Duniani na ndani ya mwaka mmoja deni limeongezeka kwa > 50% sasa aliweza vipi kulipa Mishahara, kujenga Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Bandari, Airports, kununua ndege na kufufua shirika la Airtcl, kujenga na kuweka Meli karibia kila Ziwa kubwa Tanzania, kujenga Madaraja kama mto Wami hapo hapo kujenga Dodoma kama Mji Mkuu?

Nijibuni aliweza vipi ? Magufuli was a genius, sasa hivi vilio kila mahali na ndio mwanzo tu, …
JPM alipora hela nyingi sana kwa wafanyabiashara. Sema wengi hawakuona kipindi na ni kwa sababu ya uduni wa elimu!
Upororaji wa bureau de changes!
Uporaji accounts za watu
Uporaji wa mali
Vitambulisho feki
Gharama kubwa za passpoti, lesseni n.k

Infact, ccm ina viongozi wezi sana. Upinzani wajipange vizuri!
 
Uliza pesa za wafanyabiashara benki zilikwenda wapi pia? Uliza matrilioni ya mikopo yalikwenda wapi pamoja na kodi lukuki alizokuwa anatutangazia kupata.
Huyo mjanha abaki huko huko kaburini ametusababishia matatizo mengi.
Mkitaka Samia aseme vyote mtakufa mapema.
Safi sana! Ujue wengi elimu zao ni za kutumia majina ya wengine so hata uelewa wao unakuwa ni wa mashaka mashaka! Ukija kwenye hoja za msingi unaona kabisa wanarudi wanapostahiki kuwa!

Asilimia kubwa ya waliomkubali JPM elimu zao ni za mashaka!
 
Namna bora zaidi ya kufanikiwa kiuongozi ni kulijua eneo unaloliongoza. Kiongozi anapaswa kuwa well informed kwa bidii zake na wengine.
Information unazipata kwa kusoma, kutafiti, kusikiliza, kufuatilia na kutathmini.

Kosa kubwa la kiuongozi ni kusubiri kuletewa taarifa, uvivu wa kutafiti na kujisomea, kusubiri utoe maelekezo badala ya kutenda kwa mifano. Na kubwa kuliko yote "Kukosa maarifa ya kutumia Madaraka na Mamlaka ulonayo" katika kutekeleza dira na dhima zinazokuongoza
 
Magufuli aliweza vipi kuendesha nchi kwa miaka 5 bila ya kuwaminya Wananchi kwa kodi na tozo?

Na msiniambie alikopa kwani mpaka Samia anaingia debt to GDP ratio Tanzania ilikuwa one of the lowest Duniani na ndani ya mwaka mmoja deni limeongezeka kwa > 50% sasa aliweza vipi kulipa Mishahara, kujenga Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Bandari, Airports, kununua ndege na kufufua shirika la Airtcl, kujenga na kuweka Meli karibia kila Ziwa kubwa Tanzania, kujenga Madaraja kama mto Wami hapo hapo kujenga Dodoma kama Mji Mkuu?

Nijibuni aliweza vipi ? Magufuli was a genius, sasa hivi vilio kila mahali na ndio mwanzo tu, …

Kama alivyosema Mbowe ni kweli kwamba aliporwa mali na hela zake, basi utajua ni vipi huyo Magufuli aliweza kufanya unavyosema. Kufanya hivyo ni uhuni siyo kuwa genius na ni lazima utafeli kiuchumi. Ni sawa na alivyofanya Nyerere baada ya Azimio la Arusha na baadae uchumi ukawa mahututi.
 
Magufuli aliweza vipi kuendesha nchi kwa miaka 5 bila ya kuwaminya Wananchi kwa kodi na tozo?

Na msiniambie alikopa kwani mpaka Samia anaingia debt to GDP ratio Tanzania ilikuwa one of the lowest Duniani na ndani ya mwaka mmoja deni limeongezeka kwa > 50% sasa aliweza vipi kulipa Mishahara, kujenga Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Bandari, Airports, kununua ndege na kufufua shirika la Airtcl, kujenga na kuweka Meli karibia kila Ziwa kubwa Tanzania, kujenga Madaraja kama mto Wami hapo hapo kujenga Dodoma kama Mji Mkuu?

Nijibuni aliweza vipi ? Magufuli was a genius, sasa hivi vilio kila mahali na ndio mwanzo tu, …
Kamuulize sabaya atakupa jibu
 
Kikwete was a rich even before to be a leader in this country because he was born from the wealth family and this kind of hate late behaviors you impose to compare the family of Kikwete and Magufuri is nonsense although all are Tanzanian but you are supposed to know that there are in different in many things,such as Region,Religion,Tribe,Culture,shape,wisdom,education,life history and capacity of thinking.
Are you serious?Jk father was the District Commissioner of Pangani during Nyerere's administration and his grandfather was a traditional leader of Kwere tribe.Can those titles above assure someone to be rich!!
JK is a crook just like others in CCM!
 
Kodi zote za sasa zimeanzishwa wakati WA JPM, sasa hivi ni utekelezaji tuu.

Mimi huwaga nashangaa jinsi Watanzania tunavyofikiri.

Hata nije niongoze Mimi au wewe mambo yataenda hivihivi au zaidi ya hivi.
Mfumo unatakiwa ufanyiwe marekebisho makubwa, foundation ya nchi iko hivyo,
Mifumo ya sheria na Katiba inapaswa isukwe upya.

Sasa Watanzania tukiambiwa hayo tunaona uzito, yakija yanayotugusa moja Kwa moja tunapiga yowe!
Kodi zote za sasa zimeanzishwa wakati wa Magufuli??

Unajadili mambo ambayo huna ufahamu nayo.
 
Back
Top Bottom