Search results

  1. K

    U wapi binti mrembo wa arusha?

    Jamani binti mrembo uliyepo hapa arusha ni pm tafadhari upweke unanimaliza...nimehamia hapa kikazi na niko hotelini tu..karibu japo tubadilishane mawazo na kupata kinywaji kwa muda..ni hilo tu wana familia wa jf arusha.
  2. K

    Log designer urgently needed

    A CONSULTING FIRM IS URGENTLY LOOKING FOR AN EXPERIENCED LOG DESIGNER TO DESIGN IT A LOG KINDLY SEND US YOUR DETAILS INCLUDING YOUR PREVIOUS LOG DESIGN AND PRICES AT president2003tz@yahoo.com 0r call 0653 07 59 49
  3. K

    Tigo acheni wizi wa kijinga,nafungua kesi ya madai

    Naandika ujumbe huu wadau kwa masikitiko makubwa sana,ni kwanini mtandao wa simu wa tigo unakua na wizi wa waziwazi hivi? Leo ni karibu siku ya tatu napokea ujumbe wa ajabu ajabu kutoka namba 15556,na kila wakikutumia wwanakata tsh 500. Hii huduma mimi sijajiunga na after all mambo wanayotuma...
  4. K

    Tunaandaa nyaraka za kusajili kampuni kwa Tshs Laki 1 (Memorandum na Articles of Association)

    Wadau salamuu! Tunatoa huduma kwa wajasiliamali wanaotaka kufungua limited company/firm kwa kuwaandalia nyaraka mbili muhimu za usajili nazo ni the memorandum of the company na articles of association. Gharama ya huduma hii ni tsh laki mmoja (100,000),ambayo pia itaambatana na ushauri wa...
  5. K

    Kutumia watoto wadogo kwenye maigizo ya kutisha:haki za watoto zikowapi?

    Wadau nakuja na kiti kinachonisikitisha sana,kuna tabia sasa inakua kwa kasi ya baadhi ya wasanii wa maigizo na filimu hapa tanzania kushirikisha watoto wadogo katika matukio ya maigizo/picha,cha kusikitisha zaidi watoto hawa ni wa kati ya miaka 2-5 nitatoa mifano kadhaa nimeangalia kanda mmoja...
  6. K

    Content Management,Business Process/workflows and Document Management specialists vacancies

    Wadau wanaitajika watu wenye uzoefu usiopungua 3 years katika nafasi za hapo juu yoyote mwenye sifa atume CV kwa kulwatz@gmail.com
  7. K

    MADHAIFU 180 YA KIMKAKATI CHADEMA:Attack a Person, Not an Institution 1.

    WADAU WENZANGU NA WAPENDA MABADILIKO WA TANZANIA,KUTOKANA NA MAWZO NA UFATILIAJI WA SIASA YA HAPA TANZANIA NA MICHANGO YA WADAU WA JF,NAOMBA NITUMIE UTAALAMU WANGU KAMA"POLITICAL STRATEGIST" KUTOA MADHAIFU 180 YA KITAALAMU AMBAYO CHADEMA WANAYOYAFANYA NA LAZIMA WAYAFANYIE KAZI ILI KUFIKIA LENGO...
  8. K

    Chadema strategist mnalijua hili?

    Naomba niwakumbushe wanamikakati ya kisiasa ( political strategists) wa chadema juu ya hili. Chama chochote cha kisiasa kinacholenga kuchuku uongozi wa dola lazima kipitie hatua kuu mbili za kimkakati katika ukuaji (1)unity of opposition hii ni hatua ya kwanza ya kimkakati katika ukuaji wa...
  9. K

    Document conversion center:ushauri wa soko lake hapa Tanzania

    Wadau kutokana na maendeleo ya technologia nchi nyingi za sasa wanaanchana utunzaji wa kumbukumbu (documents) /nyaraka za kiofisi kwenye makaratasi pekee ,sasa wanatumia paperless yani wanahifazi kumbukumbu kwa digitaly. Sasa wadau nataka nifungue kituo cha kubadilisha nyaraka/kumbukumbu kua...
  10. K

    Naweza kuwadai fidia airtel?

    Wadau naomba ushauri.nina morden ya airtel inasumbua sana sana network,nikitaka kufanya kazi zangu nisubiri mpaka saa nane usiku ndio inakua faster.mida ya kazi hata jiona hakuna kitu kabisa.je naweza nikawashitaki hawa watu? Wamenipa hasara kubwa sana.naomba ushauri.
  11. K

    Jamani nimeoteswa binti wa kunitoa upweke yuko jf!je ni wewe??

    Moyo wangu unagiza kuu Ni mpweke sana sana... Uko wape eh binti mwenye kujua mateso ya moyo mpweke? Uko wape ehh binti ,wenye funguo ya kuutoa upweke wangu? Njoo ee malaika,mrembo na ua langu usio na makuu nitakupenda milele.. usiste moyo wako usomapo ujembe huu ni wewe nae ongea nae...
  12. K

    Chadema tunajifunza nini kutokana na uchaguzi wa liberia na uhusinao wetu na conservative party??.

    Ndugu zangu naandika hili kwa uchungu mkubwa kutokana natabia inayokua sasa kwa kasi kati yetu sisi watu tunayoitakia mema chama cha Chadema,tabia ya baadhi yetu kutoa maneno ya kejeli na matusi hasa kwa watuwanaochangia humu katika JF na kwingine mawazo yanayopingana na sera au misimamoya...
  13. K

    Tabia hii ya baadhi ya mabinti inaudhi sana

    Kuna katabia ka baadhi ya mabinti inaniuzi sana,ni hivi unakutana na dada amabaye mnajuana nae vizuri sana labda mlikaa mtaa mmoja,au kusoma wote miaka ya nyuma,na inatokea kwamaba hamjaonana mda mrefu kiasi.kwanza ukimsalimia najidai kama kakusahau umkubushe we nani??baada ya maongezi ya hapa...
  14. K

    Re:natafuta kabinti kazuri mzumbe univeristy

    JAMANI NATAFUTA KABINTI KAZURI KOKOTE KANAKOSOMA CHUO KIKUU MZUMBE,KWA MAHUSIANO SERIOUS KABISA KABISA NAMI NIKO HAPA MZUMBE KWA SANA.NICHECK AT kulwatz@gmail.com
  15. K

    Gamba la c.c.m ni hili hapa

    KUMEKUA NA MJADALA NA MITAZAMO MBALIMBALI NA HASA BAADHI YA VIONGOZI WA C.C.M KUSHINDWA KUJUA AU KUWA NA TAFASIRI HALISI YA NINI HASA MAANA NA MADHUMUNI YA OEPRATION YA KUJIVUA GAMBA, NINI HASA KIDFANYIKE,NINI MATATIZO NA NINI KILICHOKIFIKISHA CHAMA HAPA TULIPO? MATOKEO YAKE OPERATION KUJIVUA...
  16. K

    Review classes for Open University Students - Lake Zone

    HABARI WADAU, TUNAANZA KUTOA REVIEW CLASSES KWA WANAFUNZI WANAOSOMA OPEN UNIVERSITY(UNDERGRADUATE) WENYE MAKAZI MIKOA YA KANDAYA ZIWA.TUKO LOCATED MWANZA.KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU GHARAMA NA MASOMO TUNAYOFUNDISHA WASILIANA NA SI KWA e-mail president2005tz@yahoo.com
  17. K

    Review classes for tanzania open university students lake zone

    HABARI WADAU, YUNAANZA KUTOA REVIEW CLASSES KWA WANAFUNZI WOTE WANAOSOMA OPEN UNIVERSITY(UNDERGRADUATE) WENYE MAKAZI MIKOA YA KANDAYA ZIWA.TUKO LOCATED MWANZA.KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU GHARAMA NA MASOMO TUNAYOFUNDISHA WASILIANA NA SI KWA e-mail president2005tz@yahoo.com
  18. K

    HR Consultancy firm inalipa Tanzania?

    Ndugu wadau wote, Mimi na mpango wa kufungua kampuni ya Human Resources (HR) Consultancy hapa Tanzania.Itashugulika na mambo ya Training,recruitment,placement,organization development na mengine kama hayo.Nataka iwe based Dar-es-salaam na Mwanza. Je wadau biashara hii inalipa? Kuna mtu yoyote...
  19. K

    Sina nguvu za kiume natafuta mwenza, nani atanipenda?

    Wasalaam!, Sitaki kukupotezea muda mwingi naomba sana munisaidie shida yangu hii kwani nahisi dunia yote nimebaki peke yangu!!. Kifupi mimi ni kijana wa miaka 29 na nimesoma mpaka chuo kikuu,japo bado sijabahatika kupata kazi.nilisoma shule ya bweni ya wavulana tupu,tangu kidato cha kwanza...
Back
Top Bottom