U wapi binti mrembo wa arusha?

kulwa12

Senior Member
Jun 30, 2009
103
28
Jamani binti mrembo uliyepo hapa arusha ni pm tafadhari upweke unanimaliza...nimehamia hapa kikazi na niko hotelini tu..karibu japo tubadilishane mawazo na kupata kinywaji kwa muda..ni hilo tu wana familia wa jf arusha.
 
kila la kheri. akija utuambie kinywaji kilikaje!
teh teh teh teh.......!
 
Yani JF sio sehemu ya kuomba msaada kabisa kama presha iko juu,mnanitakia nini mwenzenu na majibu haya yasio na faraja?
 
Kuna dada mmoja anaweza kukusaidia, ngoja nimwite, sharti usiwe umefikia hoteli za uswahilini maana yeye matawi ya juu.
Erotica , please rescue this lonely heart!
 
Last edited by a moderator:
kuna dada mmoja anaweza kukusaidia, ngoja nimwite, sharti usiwe umefikia hoteli za uswahilini maana yeye matawi ya juu.
erotica , please rescue this lonely heart!
na kweli am very lonely...kweli kweli kweli..nahisi kama siko tanzania vile!
 
umeshukia hotel gani...? Si useme au umeshukia limpopo.....?
reta vipi tena kashifa hizo?mi niko serious..na nimefikia hotel kubwa na ya hazi ya nyota kadhaa..sio mbabaishaji kabisa,nilitegemea humu na ndugu zangu wa jf watanielewa..leo nashida mmanitupa.nashukuru preta dunia duara lakini kumbuka.
 
ngoja ntakutafuta maana mie pia niko A town!!!!Funguka hotel uliyofikia!!!
 
mmh, that's when JF comes in very handy...usikose kutu-update progress
 
Nenda shivers utaata warembo wa kutosha wa kukutimizia haja zako ili mradi tu mfukoni uwe safi.
 
reta vipi tena kashifa hizo?mi niko serious..na nimefikia hotel kubwa na ya hazi ya nyota kadhaa..sio mbabaishaji kabisa,nilitegemea humu na ndugu zangu wa jf watanielewa..leo nashida mmanitupa.nashukuru preta dunia duara lakini kumbuka.

ha ha ha....imebidi nicheke....nimekuuliza upo hotel gani coz hata mimi leo nimeshukia hotel yenye hadhi....inawezekana tupo hotel moja....
 
Kuna dada mmoja anaweza kukusaidia, ngoja nimwite, sharti usiwe umefikia hoteli za uswahilini maana yeye matawi ya juu.
Erotica , please rescue this lonely heart!

What do you mean Madamex? By the way, as far as I know Erotica (Leyla) isn't a professional receptionist! Leave her alone please! Ni my wife wangu, samahani sana MadameX
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom