Tunaandaa nyaraka za kusajili kampuni kwa Tshs Laki 1 (Memorandum na Articles of Association)

kulwa12

Senior Member
Jun 30, 2009
103
28
Wadau salamuu!

Tunatoa huduma kwa wajasiliamali wanaotaka kufungua limited company/firm kwa kuwaandalia nyaraka mbili muhimu za usajili nazo ni the memorandum of the company na articles of association.

Gharama ya huduma hii ni tsh laki mmoja (100,000),ambayo pia itaambatana na ushauri wa kitaalamu (consultancy) kuhusu hatua zote za kusajili kampuni:

Tunafanya kazi kwa njia ya mtandao kwa wale walioko nje ya mkoa wa morogoro,kwahiyo tunaweza kukuhudumia popote ulipo Tanzania.

Kwa wanaoitaji huduma hii tupe maitaji yako kwa e-mail kulwa12@gmail.com

NB: Tunaandaa nyaraka zote hizi kwa siku moja tu ya kazi na kwa ufanisi mkubwa.

 
kulwa12

Kwa kutumia template moja, right?
Vp kuhusu usajili, mtanisaidia kufuatilia kwa hiyohiyo laki?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu, mngejaribu kuwapunguzia watu pressure kwa kufanya paperwork yote. Kumbuka kinachowasumbua watu sana si hizo MEMARTS tu, kwani watumiaji wengi wa JF (ambao umewatarget kwenye bandiko lako) wanaweza kuomba kwa wadau wa jamvi hii template za MEMARTS na wakapata kisha wakazicustomize kuendana na mahitaji yao. Tatizo ni lawyering, procedures za usajili na zaidi ya yote ufuatiliaji wa pale BRELA mpaka certificate zitoke. tengeneza package moja, kwa kufanya yote hata kama utapandisha bei.

Until you do the needful, ndio utapata wateja wa ukweli. (Msisahau kutoa guarantee ya pesa za watu, location yenu, na status yenu kama ni registered au la). Watu hawapendi longolongo siku hizi
 
unamaana nikitoa laki moja mtafanya kazi zote za uasjili mpaka kupata cheti cha usajili kutoka brela? Nahisi hizo docuements (memorundum and articles of association) mtakuwa mnacopy na ku paste tu, vinginevyo hauwezi kuandika na kukamilisha kwa siku moja!
kuu nazani hauko sahihi kusema kucopy na kupaste bila kujua uwezo wetu ukoje,ili ufanikiwe katika biashara unatakiwa utoe huduma bora na kuboresha kama lawyers wengine wanatumia miezi kuaanda haina maana kwama kila mtu anaitaji miezi.inategemea idadi ya wataalamu na uzoefu pia.ahsante kwa mawazo yako.
 
wakuu, mngejaribu kuwapunguzia watu pressure kwa kufanya paperwork yote. Kumbuka kinachowasumbua watu sana si hizo memarts tu, kwani watumiaji wengi wa jf (ambao umewatarget kwenye bandiko lako) wanaweza kuomba kwa wadau wa jamvi hii template za memarts na wakapata kisha wakazicustomize kuendana na mahitaji yao. Tatizo ni lawyering, procedures za usajili na zaidi ya yote ufuatiliaji wa pale brela mpaka certificate zitoke. Tengeneza package moja, kwa kufanya yote hata kama utapandisha bei.

Until you do the needful, ndio utapata wateja wa ukweli. (msisahau kutoa guarantee ya pesa za watu, location yenu, na status yenu kama ni registered au la). Watu hawapendi longolongo siku hizi
nashukuru sana mdau kwa mawazo yako na mchango wako makini na ndi manaa tuko hapa jamvini,tutafanyia kazi suala lako na tutakuja na package mmoja yenye huduma zote kwa pamoja.ahsante sana.
 
mnaanza utapeli kwenye jamvi la jf.
mkuu sio utapeli,wapo wengi wanaitaji na hawajui pa kuanzia,tusiwe watu wa mtazamo chanya katika kila kitu,au unaona fahari wakenya wanapoishia tanzania na kuanzisha firms na kubeba kazi zetu zote? Si tupo tunakalia kuitana matapeli?badili mawazo ndio mwanzo wa maendeleo.
 
kwa kutumia template moja, right?
Vp kuhusu usajili, mtanisaidia kufuatilia kwa hiyohiyo laki?
hatutumii template mmoja inakua customized kwa kadri ya maitaji ya mteja na standard format ya brela pia.
 
WADAU SALAMUU!

TUNATOA HUDUMA KWA WAJASILIAMALI WANAOTAKA KUFUNGUA LIMITED COMPANY/FIRM KWA KUWAANDALIA NYARAKA MBILI MUHIMU ZA USAJILI NAZO NI The Memorandum of the company na Articles of Association.

GHARAMA YA HUDUMA HII NI TSH LAKI MMOJA (100,000),AMBAYO PIA ITAAMBATANA NA USHAURI WA KITAALAMU (CONSULTANCY) KUHUSU HATUA ZOTE ZA KUSAJILI KAMPUNI:

TUNAFANYA KAZI KWA NJIA YA MTANDAO KWA WALE WALIOKO NJE YA MKOA WA MOROGORO,KWAHIYO TUNAWEZA KUKUHUDUMIA POPOTE ULIPO TANZANIA.

KWA WANAOITAJI HUDUMA HII TUPE MAITAJI YAKO KWA E-MAIL kulwa12@gmail.com

NB;TUNAANDAA NYARAKA ZOTE HIZI KWA SIKU MMOJA TU YA KAZI NA KWA UFANISI MKUBWA.

Not all people go for cheap services. Specific example is application form for joining secondary school. If two schools are selling application forms first school for TShs. 5,000 and the second school atTShs. 10,000; most parents will go for school selling form at TShs. 10,000 why?. Because the price of anything reflect quality.

My advice to you is that you should advertise what you can do and leave fees for case to case negotiation. I am a selft practitioner too.

Company formation is not not a matter of editing someone MEMARTS and change name alone and proud yourself to be consultant, it requires searching or name clearance with BRELA, obtaining Lawyers signature, having MEMARTS signed by subscribers, presenting the same to BRELA, following with BRELA until Certificate of Incorporation is out.

 
mkuu sio utapeli,wapo wengi wanaitaji na hawajui pa kuanzia,tusiwe watu wa mtazamo chanya katika kila kitu,au unaona fahari wakenya wanapoishia tanzania na kuanzisha firms na kubeba kazi zetu zote? Si tupo tunakalia kuitana matapeli?badili mawazo ndio mwanzo wa maendeleo.

Mtazamo hasi (-) sounds accurate there.
 
@ndachuwa, kwani kitu kikiwa cheap inamaanisha low quality? Unajidanganya na kama una mawazo hayo kuna vitu vingine utakuwa unalanguliwa. Wafanyabiashara kwenye kuset price wanaangalia costs walizotumia. Wapo ambao huuza bei juu ila quality ndogo ili wapate super normal profit. Wapo ambao wametumia gharama kubwa hivyo bei zao lazima ziwe kubwa hata kama quality ni ile ile.
Pia inawezekana mtoa mada ameset low price ikiwa ni mojawapo ya strategies za kupenetrate kwenye market.
 
huwezi ukafanya copy and pest wakati kila mteja namaitaji tofauti na kampuni hazifanani uduma zake,inategemea mteja nanataka firm ya kitu gani.

mi imeshanikuta hii. Wakaniwekea MEMARTS za ajabu kweli. Copy paste. Nachoelewa ni kuwa article zaweza kufanana lakini si memorandum. Na mnavyosema kwa siku moja bado ina shaka. Mnawezaje kujua object za kampuni husika, au mteja anakuleta object zote? Na kama anakuletea zote kashindwa nini yeye kuandaa?
 
@ndachuwa, kwani kitu kikiwa cheap inamaanisha low quality? Unajidanganya na kama una mawazo hayo kuna vitu vingine utakuwa unalanguliwa. Wafanyabiashara kwenye kuset price wanaangalia costs walizotumia. Wapo ambao huuza bei juu ila quality ndogo ili wapate super normal profit. Wapo ambao wametumia gharama kubwa hivyo bei zao lazima ziwe kubwa hata kama quality ni ile ile.
Pia inawezekana mtoa mada ameset low price ikiwa ni mojawapo ya strategies za kupenetrate kwenye market.

we mwanamke wewe,wallah ur gift talented
 
Back
Top Bottom