Tabia hii ya baadhi ya mabinti inaudhi sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabia hii ya baadhi ya mabinti inaudhi sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kulwa12, Nov 9, 2011.

 1. k

  kulwa12 Senior Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna katabia ka baadhi ya mabinti inaniuzi sana,ni hivi unakutana na dada amabaye mnajuana nae vizuri sana labda mlikaa mtaa mmoja,au kusoma wote miaka ya nyuma,na inatokea kwamaba hamjaonana mda mrefu kiasi.kwanza ukimsalimia najidai kama kakusahau umkubushe we nani??baada ya maongezi ya hapa na pale anajidai ndio kakukumbuka,miwisho kwa mawasiliano kama watu mlioishi au soma pamoja unaomba akupe namba ya simu anaanza ohh mimi huwa sitoi namba,ohh mchumba/mme wangu haruhusu au ohh simu yangu mbovo,kifupi anakunyima namba yake kabisa kabisa.ila siku zinapita anapata habari zako zaidi kuhusu wewe na nagundua uko sehemu yenye manufaa kwake,au unauwezo hasa wa kifedha na mwingine wowote wa yeye kunufaika,anaaza yeye mwenyewe kuitafuta namba yako,akiipata anaanza kukupigia simu kila mara na kujidai anaupendo mkubwa sana kwako..mi najiuliza inamaana unamsamini mtu ukijua tu anauwezo au ukiona anamasilahi fulani?? Hata namba yako tu ya simu uliona hana samani ya kuwa nayo,kwanini sasa ujidai unamjua na kmsaminini sana?!!
   
 2. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe namba yake ya simu ya nini? achana naye bwana, wewe ukikutana na mtu ambaye ulikuwa unajuana naye acha yeye ndo akuombe namba wewe ya nini? Kwanza life style inakuwa imebadirika sana.
   
 3. k

  kulwa12 Senior Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nazani mkuu hujanielewa silalamiki au kuuziwa na kunywima namba,kwanini kama mwaanzo hukuona umuhimu wa mawasiliano baadaye ukijua nauwezo ndio unaitafuta na kutaka mawasiliano?? Hiyo life syle imebadilika baada ya kujua mtu anauwezo wa fedha?? Mi nazani sio sahihi kabisa.
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  aaaaaaaaaaaaaaaah!
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  red n bolded: sina uhakika una maanisha nini, lakini back to the topic. Unajua siku hizi vidume wengi ni watu wa 'kupika uji' na kuwanywesha tu wenzetu hawa baada ya hapo mtu hana habari tena. Sasa hawa jamaa wamejanjaruka siku hizi, na wao wanaangalia mahali ambapo hata akija kutoswa basi walau na yeye awe na cha kujisema na kujiridhisha kwamba pamoja na kuachiwa shombo, kuna kitu amekipata toka kwako, bahati mbaya sana ktk hili huwa wanaangalia 'material things' zaidi-kwamba amekuchuna, umemnunulia vitu vya maana ingawa wakware wengine huwanyang'anya hata walivyowanunulia.

  Unadhani kwa nini hata baadhi ya midume mingine haipendi kutoka na mademu waliochoka-tegemezi? Kila siku unapigwa mizinga mpaka unajuta kwanini ilimtokea huyo mwanamke. na ndivyo ilivyo kwa wadada pia, so mzee ni mi nadhani 'concern' yako inatokana na suala zima la 'nyani halioni kundule', au we unaonaje hapo?
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mkuu hebu jaribu kuwa un 'edit' maandishi yako, inatia uvivu sehemu kubwa ya maneno unayakosea kosea, khaaaaaaaaaaa!
   
 7. S

  SMART1 Senior Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkono mtupu haulambwi
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  khaaa!! vya mteremko kisa tulisoma wote!!!!!
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  mie nikimuona niliyesoma naye namsalimia na kuachana naye labda yule ambaye nilimzoea sana ndio nitamzingua kidogo. Nalog off
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  sasa kama amekusahau asikwambie?

  kama mlizoeana na kuwa close chuo/popote mlipokuwa muombe namba, lakini mtu hamkuwa na ukaribu namba za nini? utajaza phone book yako buuureeee...

  ukiona anakufuata akigundua una mafanikio ndo ujue hapendwi mtu mpaka awe na kitu ndo maisha hayo

  anyway hayo yasikusumbue kichwa kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi
  :lol:
   
 11. k

  kulwa12 Senior Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli dunia inamambo kama ni hivyo sasa!!
   
 12. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  mi huwaga na tabiaa mojaa...kama mtu hata niliesomaa nae na sikuwai kuwaa na mazoea nae,tukikutana hata baada ya miaka mingapii ni wambuziii tu no mshoboko,ilaa friend ambae tulikuwaa close sio rahisi kunileteaa pozii hizoo etii sijuii siku kumbukiii...maraa niniii!!labda na wewee ulitakaa umaarufu mbele ya watu,umeonaa kitu mvuto wa halii ya juu ukataka kuchukua sifaaa oooh!!demu na mfahamu..ngojaaa?lazimaa akupigiee kimyaaa.
   
 13. k

  kulwa12 Senior Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nazani mdau wewe hili halijakukuta sisemei mtu amabae mlikua hamjuani mnajuana fika na mlizoeana kabisaa visuri sana sana,ila tu safari ya maisha mkikutana anahisi yeye yuko juu sana na wala wewe huna hadhi tena ya kuongea nae,baadaye akijua yeye si kiti kwako ndio analeta za kukumbushia kujuana kwa zamani..sasa hiyo ni sahihi tu???
   
 14. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hahahaaa, duh! nimepigwa na mshangao, kwani kumsahau mtu ni kosa la jinai? Watu hukua na kubadilika, wengine siku hizi watumia Carolight, wengine wana hipsi za kichina, wengine wamepiga gym mijifua hiyoo, sasa mtu umesoma naye praimare huko sijui Nyasurura, miaka ile gari zikipita watu watimkia porini, leo kwa nini umshangae kwa kukusahau?

  Kuhusu kukupa namba ya simu, pengine baadae alipokukumbuka vizuri ndo akaona umuhimu wa mawasiliano nawe, after all this is the world of benefits and new wonders. So keep wondering ndo DUNIA ilivyo
   
 15. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Atm)))))))))
   
 16. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Hii kumbe inawakuta watu wengi sana eeeh. Mabinti wanauzi sana na hii Tabia.
  Mimi hii imenitokea Ndani ya Masaa yasiyozi kumi na mawili Jana.

  Nimefika ofisini Mapema, nikagongewa simu na wife nimeondoka na funguo zoote
  home, fasta nikachukua boda boda na kurash home.

  Nikiwa narudi ikabidi nipite mgahawa mmoja kisutu hapo kupata breakfast, nikakutana
  na huyu Mdada, nikamfuata mezani ikawa kama vile najitambulisha sasa, wakati home
  tumetoka eneo moja nikaokolewa na simu ya ofisini ikabidi niwahi fasta ila aibu imenijaa.

  Nafika ofisini mida ya saa sita tunafanya interview, wameingia vijana na mabinti pale
  kujaribu bahati yao mara huyu binti na yeye huyo ndani ya nyumba. in fact nikafail
  kumuuliza maswali ya msingi zaidi ya kumuuliza anaepect salary kiasi gani basi.

  Kutoka hapo, sijui kapata wapi number yangu, ananipigia kujitambulisha hataki, analazimisha
  tuonane nae ndo tutafahamiana vizuri, nikapiga chini. ikapidi aniandikie message ndefu sana.

  "Mimi ni ****** tumekutana asubuhi kwenye mgahawa ila wewe ukaondoka ghafla baada
  ya kupigiwa simu, naomba tuonane....."

  Hii nini sasa.
  Jana imetokea hii. wadada kama Mpo hapa acheni hizo bwana, ala!!
  au mnafikiria kutongozwa tuuuuu muda wote.
   
 17. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Dedication, Yamenikuta by GWM n SUGU.
   
 18. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Hii ishu iko complicated ukiiangalia kwa angle tofauti tofauti, but all in all asilimia kubwa ya madem au wanawake au wasichana wako material based sana, huna kitu, they don't give a shit about you, but wakigundua uko fresh wanakujia fasta sanaaa!
   
 19. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Waambie hao! Wanaboa sana!
   
 20. k

  kulwa12 Senior Member

  #20
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mdau nashukuru kabisa kwa kuniunga mkono mi nazani watu halijawakuta hili suala,kweli masilahi yapo lakini kuana wadada wamezidi sana sana hii tabia,kwani namba ya simu au ndio kutongozwa?? Au mtu akiwa chini kihadhi kunaondoa kujuana? Wakijua uko juu kama hivyo ndio simu na msg kibao sasa kila dakika naomba nikuone,nashida...pole sana mdau nami sasa napiga chini tu walahi tena.ukauzu tu sasa.
   
Loading...