Re:natafuta kabinti kazuri mzumbe univeristy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re:natafuta kabinti kazuri mzumbe univeristy

Discussion in 'Love Connect' started by kulwa12, Oct 23, 2011.

 1. k

  kulwa12 Senior Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JAMANI NATAFUTA KABINTI KAZURI KOKOTE KANAKOSOMA CHUO KIKUU MZUMBE,KWA MAHUSIANO SERIOUS KABISA KABISA NAMI NIKO HAPA MZUMBE KWA SANA.NICHECK AT kulwatz@gmail.com
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  duh!!! sasa wewe unasema hupo hapo mzumbe kwenyewe...kwa nini uweke post hapa jf? sii utongozee tuu hapo hapo mzumbe!!!
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Vipi boom limetema?? Uko mwaka wa ngapi na unasoma faculty gani?
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Swali lako zuri sana mkuu!
   
 5. k

  kulwa12 Senior Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ohh..plse I'm very serious with my appeal...no one around MU plse..life is getting so lonely down here...
   
 6. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  domo zege!
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  kweli wewe domo zege.sasa hata mkitongazana kwa pm si kuna vitu vingine kuvifanya itabidi muonane?sasa kama hata kumface umpendae hapo ulipo unaogopa unafikiri itakuaje?hata nashindwa nikusaidieje.jitahidi kutafuta kwa macho au unataka mwanajf.Mungu akusaidie ufanikiwe hitaji lako.mia
   
 8. k

  kulwa12 Senior Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanini unasema domo zege??,naheshimu mawazo yako na unahaki hiyo,ila nami nahaki yangu ya kukujibu,tatizo letu tuna utamaduni wa kukalilishwa kilakitu kuanzia masomo,tabia na hata utamaduni!nani kawambia e-dating ni kua domo zege?mi naamini hii ndio njia sahihi zaidi ya kuonesha uitaji,sio mpaka uone naonekanaje au na nini ndio iwe sababu ya kunisikiliza na kunipenda...
   
Loading...