Sina nguvu za kiume natafuta mwenza, nani atanipenda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sina nguvu za kiume natafuta mwenza, nani atanipenda?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kulwa12, Jul 1, 2009.

 1. k

  kulwa12 Senior Member

  #1
  Jul 1, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wasalaam!,

  Sitaki kukupotezea muda mwingi naomba sana munisaidie shida yangu hii kwani nahisi dunia yote nimebaki peke yangu!!. Kifupi mimi ni kijana wa miaka 29 na nimesoma mpaka chuo kikuu,japo bado sijabahatika kupata kazi.nilisoma shule ya bweni ya wavulana tupu,tangu kidato cha kwanza mpaka cha sita.

  Nilipokuwa shule tangu kidato cha kwanza nilifundishwa au kuiga tabia ya kupiga punyeto (Masterburation).na ilikua ni tabia ya kawaida kabisa hapa shule na kutokana na hilo hakika sikujua kama ina madhara yoyote.

  Niliendelea kupiga punyeto kuanzia kidato cha mpaka kitado cha sita mfululizo na nikawa adicted kabisa.Baada ya kujua madhara yake niliamua kuacha kabisa tabia hii na hili nimeliweza.

  Nilipofika chuoni niliingia kwenye uhusiano na msicha ambae nilmpenda sana na tulipendana sana.Nilipojaribu kushiri nae tendo,nilishindwa kabisa na sichukui muda hata wa dakika 1 nimeshamwaga!

  Hili tatizo liliendelea kujirudia mara nyingi sana katika uhusiano wetu na mpenzi wangu alikosa raha sana na kulalamika simlizishi katika mapenzi,na baada ya mudaakanichukia,mapenzi yakapungua na mwiso akaomba tuachane naakaniaacha!!.

  Nimekaa mwenyewe muda mrefu sana na najihisi mpweke sana,na sina raha. Je, naweza kupata mtu wa kunipenda katika hali hii na kuyaelewa matatizo yangu na kuangalia jinsi ya kunisaidia?

  Je, naweza kupata tiba ya tatizo hili?kwani hata sehemu zangu za siri zimesinyaa na imekua laini,na ukiamuka asubuhi inakua imelala tu!!.

  naomba msaada wako,na kama kuna msicha yoyote yuko tayari kunipenda kwenye hali hii aniandikie kwenye e-mail yangu kulwa12@fastmail.fm

  NAOMBA MSAADA WENU WADAU.
   
 2. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mmmmh....Pole!!
   
 3. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  huyu member mpya,kweli naamini maadhara ya earthquake lilomvamia zeutamu sasa lina affect mmoja kwa mmoja JF
   
 4. k

  kulwa12 Senior Member

  #4
  Jul 1, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani do not make jokes!,ni kweli namatatizo,matatizo ni ya kila mtu duniani,na mtu muungwana ni anaekili uzaifu wako na kuombe msaada!,sizani kama nimekosea kusema matatizo yangu,siitahili kuchekwa naitaji msaada!!
   
 5. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Pole sana, pia jaribu kutembelea link hii HAPA
  pamoja na HII
   
 6. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,803
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Ndugu Kulwa:

  Ngoja nikupe ushauri. Punyeto haipunguzi uwezo wako wa kiume. Hivyo kupiga kwako punyeto hakuna athari na matukio yako ya kuwahi shughuli.

  Vilevile ningependa kuweka sawa kijana. Kufika kileleni mapema sio kutokuwa na upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni jogoo kutowika kabisa.

  Wewe ni mwanamme kabambe kabisa. Hila una matatizo ya kutoku-control shughuli zako.

  Kumbuka kuwa ni ubongo unaotoa signal za wewe kufika kileleni. Hivyo basi wakati wa kitendo, unatakiwa usipoteze akili na u-control movements zako kwa sababu ukishahisi kuwa kitu kinatoka basi huwezi kukirudisha ni lazima kitoke.

  Hivyo timing ni kitu muhimu sana. Na vilevile usianze mchezo kama hupo kwenye mashindano ya mita 100. Anza taratibu na huku ukisikiliza vitu vyako bila kupoteza fahamu.

  Vilevile usifuate emotions za mpenzi wako bila kujua mapigo yake. Mpenzi wako anaweza kuonyesha kuwa yupo tayari na wewe ukazidisha mapigo kumbe yeye ndio anaanza. Hivyo communication kati yenu ni kitu muhimu.

  Vilevile michezo ya mwanzo ya kujitayarisha ni kitu muhimu. Hivyo jifunze mbinu za kujitayarisha. Ukiwa mtayarishaji mzuri dakika yako moja inaweza kuwa ni muhimu katika shughuli zako kuliko kupoteza masaa katika mchezo.

  Kwa ujumla tatizo lako ni premature ejaculation. Google na utapata mambo mengi.

  Wako Z10
   
 7. k

  kulwa12 Senior Member

  #7
  Jul 1, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asante sana ndugu.
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mi nina dawa za kuongeza nguvu au hata ukubwa, unaweza kununua tuongee biashara? Wasiliana nami kwenye PM.
   
 9. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,377
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  maumivu huanza pole pole...mwenzio nakunywaga konyagi, nakutafuta mtoto tantalising.
   
 10. D

  Dingiswayo Member

  #10
  Jul 2, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 55
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 15
  Aisee hilo tatizo lako nami lilishawahi kunipata huko nyuma ila sasa ni historia..nilikunywa kila aina ya dawa za kienyeji na vingine vingi wapii..basi rafiki yangu mmoja akanishauri kitu ambacho naye alikitumia kika work..kwakuwa hiyo ni psychological effect..kama unatumia kinywaji itakuwa nzuri zaidi..nenda duka la madawa nunua kidonge kinaitwa cialis tadalafil..kwetu bongo hakuna haja ya prescription..nunua kimoja tu kinatosha, hakikisha una mpenzi kwanza mana hicho kidonge kinafanya kazi from nusu saa mpaka masaa 36 kuna maelekezo kwenye karatasi kama nimekosea...kata kwanza nusu kidonge meza na maji..then ukiwa na mpenzi wako unaweza kuendelea kukata kilaji chochote kile..jipe nusu saa mpaka one hour utaanza kujisikia hali tofauti hapo ujue kazi tayari...nenda kashughulike...nilipona the same day sikuhitaji tena hicho kidonge siku zilizofuata mpaka leo haijawahi kurudi hali hiyo...kinywaji ukinywa cha kutosha kitakusaidia kukuondoa mawazo kuwa huwezi na hapo ndo utakapoona maajabu..ni kama mchezo wa kuigiza but it worked!!!
   
  Last edited: Jul 2, 2009
 11. k

  kulwa12 Senior Member

  #11
  Jul 2, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks a lot for such constructive ideas.
   
 12. S

  Shingo Senior Member

  #12
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 127
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Vile vile inawezekana ulikuwa unamwogopa huyo msichana. Watu wengi wanaoyaanza mambo hayo ukubwani huwa na confidence kidogo. Siku ya kwanza wengi hushindwa. Ukishashindwa siku ya kwanza inahitaji ujasiri kuweza siku ya pili, n.k. Kadri unavyoshindwa ndivyo uwezekano wa kushindwa zaidi unavyojijenga.

  Hapo huna tatizo lolote. Ni shock tu ya kisaikolojia. Inatakiwa ujaribu kuishinda hali hiyo ya wasi wasi inayokuja. Huwa ni ngumu sana, lakini inawezekana. Jiambie wewe ni mwanaume rijari ndo maana ulikuwa ukipiga punyeto. Hizo punyeto zinaonesha uko fiti. Ila unapomfikia mwanamke udenda unakuzidi na unawahi.

  Halafu huyo mdada uliyempata naye alikuwa si mzoefu wa mambo hayo, yaani alikuwa **** kama wewe katika mambo hayo. Watu kama wewe wakikutana na changudoa umekwisha. Kwani changudoa anajua kuwa wanaume ni waoga na atajua jinsi ya kukuandaa kisaikolojia. Utajikuta umemuoa.

  sitaki nikushauri kutumia madawa au pombe. Kwani utajenga utegemezi, ukiwa hujapata basi.

  Yaani wewe ni kidume cha mbegu tu, ila huna uzoefu. Wanaume wengi siku ya kwanza kwa mwanamke unayemzimia sana kajogoo husinyaa tuu. Ukikaforce ndo kanachafua baada ya dakika moja tu. Inatakiwa mkishaingia uwanjani msivamiane pale pale. We tulia kwanza mzungumzie mengine tu. Jipe muda wa kutosha kabla ya kulianza, utaona matokeo.
   
 13. S

  Shingo Senior Member

  #13
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 127
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Vile vile inawezekana una matatizo ya kiafya. Magonjwa ya ini, kisukari, presha, n.k. husababisha kupungua kwa nguvu. Kwa hiyo itakuwa jambo la busara ukimuona daktari mweledi akakuchunguza afya yako.

  Mie kipindi fulani ilishanitokea sudden death. Yaani siku zote ulikuwa unafanya kama kawaida, inatokea siku unashindwa na hali inakuwa persistent. Nilivyochunguzwa nikakuta kulikuwa na shida kwenye ini. shida ilipoondoka baada ya tiba, afya ilirudi.

  Kwa hiyo, wakati unatibu haya ya kisaikolojia, si vibaya ukimwona daktari.
   
 14. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,708
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kulwa
  punyeto sio sababu ya wewe kutokua na nguvu....


  kama shingo alivyokuambia hapo juu nenda kapime figo, kisukari, magojwa ya zinaa au bacteria tuu wa kawaida

  kama hauna ugonjwa wowote

  maumbile ya mwanaume yapo tofauti kuna wanaume wanachukua mda mrefu kupungukiwa na nguvu (mpaka late 50 unakuta bado wana nguvu za kawaida) na kuna wengine wanaanza kupungukiwa mapema (wakiwa na umri mdogo)....

  dawa yake hiyo ni suppliment (kijiko cha asali kila siku) na baada ya muda utakuwa na nguvu kama kawa...

  jitahidi na foreplay kabla ya kuanza mambo itakusaidia ku relax....

  kuna msemo unasema "una haraka kama goli la kwanza"
  lakini wanaume wengi watakuambia wanachukua dakika 20min kwa goli la kwanza, kwa hiyo jihadhari sana na story za vijiweni


  pole sana kaka
   
 15. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Pole sana. Na hili liwe fundisho kwa wanaume wengine, waache kujichua.
   
 16. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,155
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Duh! Pole sana the new member, kuna ushauri wa msingi sana hapa, just use it please utakusaidia. Dont fed up my dear head of the family. Your problem is so simple to solved. First of all ondoa hayo mawazo ya kukosa nguvu, see yourself as capable, Secondly tumia asali ya nyuki wadogo, its very useful; Thirdly try to exchange ideas with elders.
   
 17. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,067
  Likes Received: 1,297
  Trophy Points: 280
  Wanajichua kwa kuwa wakija kuwaapproach mnakuwa na process ndefu mpaka muwape!!!!!!!!!

  Sorry
   
 18. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,155
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Duh! Kweli kaka una matatizo! Yale mambo yalivyo matamu, nikiona mwananume mwenzangu anashindwa kufaidi roho inaniuma sana. Nway, Nilishatoa ushauri, nimerudi kukupa pole tu kaka
   
 19. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,155
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mwanajamiione, Nyamao, Pretty, na ladies wengine msaidieni mshikaji jamani, hamna mwenzenu mnaemfahamu ambaye hana-appetite na magoli mengi, maana mshikaji yeye ana uwezo wa ku-provide goli moja ambalo naamini litakuwa effective. Ila msimpatie ambaye ameshazoea magoli matano hadi saba per a game, atamkimbia mshikaji kama huyo demu wake wa chuo alivyomfanyia
   
 20. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Pole sana, wadau msaidieni mwenzetu huyu yamemkuta.Hata akina dada mumkubali kwa mazoezi.
   
Loading...