Recent content by Mtu

  1. M

    JamiiForums Tanzania UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Hawa nao cjui namna gani utawakuta muda woote wakichat kutafuta mademu tu.Kuna wengina hata anuani za barua pepe hawana!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Acharya Institute of Management & Science (Bangalore, India) ni feki

    Hii mbona kali kamanda,mbona sasa itakuwa balaa sana.Ninavyojua kuna lundo la "vichwa" nikiwa na maana vile vilivyopata Div 1 za pwointi 3 mpaka 5 viko chuo hicho sasa kama madai ndio haya basi mzozo mkubwa hapo. Wewe upo chuo hicho?
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ukiwaona Ditopile afariki dunia

    Unajua tuseme ukweli hiki kifo cha huyu "mtoto wa mjini" wengi tumekipokea kwa furaha sana.Hasa tukimkumbuka marehemu Mbonde.....Rest Not In Peace Ditto
  4. M

    JamiiForums Tanzania JF Email Accounts

    Haina kwere mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania TAJENI majina JF

    Kama kuna mtu anaogopa kutaja majina anipe niyataje mimi.Unafiki hatutaki biashara hizi za kutoa ndizi Mwanza na kupeleka Bukoba hatutaki JF.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nishauri Kwa nini Nirudi Kuishi Tanzania?

    Wewe kama unataka kurudi rudi ni maamuzi yako na akili yako.Sasa hata nikuambia urudi na wakati maamuzi yako ni kutokurudi huoni kama itakuwa ni upuuzi mtupu?. Hapa kama huna akili ya huwezi ishi endelea kubeba box tu huko maswali mengine jijibu mwenyewe unatumalizia kurasa za JF
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huu sio utapeli kweli?

    Hapa mjini kumezuka kwa sasa sijui niite bahati nasibu au la katika sijui niita makampuni kama FOREVER la marekani NA POWER CLUB kutoka Italy. Kwa kifupi mtu unaweka kiasi flani cha pesa mfano kwa forever ni 450,000/= baabdae unapanda vyeo na kila ukipanda vyeo kw akuingiza watu chini yako...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri.

    Usikubali kuacha demu kirahisi mkuu shikiria ngangangaa!! komaa ne huyo Mtoto wa M7
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wako wapi sasa?

    Saigoni kapata shavu kitambo anarusha mawimbi EATV
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unajua Nini Kuhusu Crack

    BInafsi nilishazoea kutonunua software.PC yangu naitumia mwenyewe na kila nikitoka natoka nayo.Na mara kwa mara huwa naishusha injini ili kuifanya iwe imara zaidi. Kama nafanya uharifu bora huu ninaofanya mimi.Na kama kuna mtu anajua mbinu mpya za ku crack na kutafuta key log anai PM
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada Kuhusu Hii Message Ktk Pc Yangu

    Duh Shy majibu yako unayatoa kwa mtu anaejua.Mfafanulie hapo naona umempestia link tu mpe maelezo ya kitalaam.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Leteni Maswali ya Kiafya Niwasaidie

    NB(Na Bado) Avatar yako kiboko Mchumia juani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Leteni Maswali ya Kiafya Niwasaidie

    Shukrani sana Mkuu kwa msaada wako hope tutaanza kumimina matatizo yetu hapa.Samahani mkuu unaweza kubadili rangi ya maandishi yako
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanayo tokea sasa Dodoma Bungeni-Lowasa kuulizwa Maswali kila Alhamisi

    Hakikaa..... Angalia link hii http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=133028#post133028
  15. M

    JamiiForums Tanzania JF: Rankings, Reputations na Maswali Mengineyo..

    Nakuunga mkono kamanda.Kuna member alisema kuwa atakuja RA nae atapewa maandishi ya kijani.Sidhani kama kuna umuhimu wa member kuchangia JF na kuonekana au kujulikana. Itafikia kipindi wale watakaotoa kiwango fulani hapa watakuwa na room yao ya kukata ishu. Ni maoni yangu tu
Back
Top Bottom