JF Email Accounts

Status
Not open for further replies.

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,076
7,857
Kwa wale wenye barua pepe kupitia JF, tafadhali tembelea:

mail.jamiiforums.com

na kusoma barua pepe zenu. Kuna ujumbe muhimu kwenu.

Kwa wale wenye kupenda kuwa na barua pepe kupitia JF ni ruksa, tuma ombi kwenda kwa invisible@jamiiforums.com na itafanyiwa kazi haraka sana. Storage ni 6.5GB.

Karibu
 
mkuu na mie naomba mkuu nipatie mail accounts

natanguliza shukrani zangu kwako mkuu wetu
 
Mkuu invisible nami naomba hiyo service, nimejaribu kutumia E mail yako uliyoitoa hapo juu, nimekwama nilipofika kwenye kujaza servers.

I thank you in advance.
 
This by all means a good news and a nice development for JamboForums!

Congratulation Invisible and Team.
 
Kama walionitangulia walivyosema...mkuu na mimi nifungulie email ya JF!!

Respect mkuu....

Nitakutafuta soon, been quite busy recently!

Hongera sana and many thanks!!!
 
Kwa wale wenye barua pepe kupitia JF, tafadhali tembelea:

mail.jamiiforums.com

na kusoma barua pepe zenu. Kuna ujumbe muhimu kwenu.

Kwa wale wenye kupenda kuwa na barua pepe kupitia JF ni ruksa, tuma ombi kwenda kwa invisible@jamiiforums.com na itafanyiwa kazi haraka sana. Storage ni 6.5GB.

Karibu

Mkuu nimepita huko!
Lakini mbona ule ujumbe ulioko ndio huo tuliouzoea kila siku katika mail zetu?
Ama kuna jipya hapo?
Idimi@jamboforums.com
 
Invisible,
mkuu nifungulie hiyo email account
Akhsante

Kwa kila aliyeomba kufunguliwa email account naamini nimemjibu kikamilifu. Kumradhi wale walionitumia email ndio niliharakisha kuwatimizia sikujua kama kuna ambao waliomba directly hapahapa.

Hata hivyo nanyi mlioweka hapa requests nimezifanyia kazi na kuwafahamisha via PM. Please respond accordingly.

Regards,
 
Mkuu invisible nami naomba hiyo service, nimejaribu kutumia E mail yako uliyoitoa hapo juu, nimekwama nilipofika kwenye kujaza servers.

I thank you in advance.
Nziku soma PM yako upate maelezo ya namna ya kutumia email yako mpya ya nziku@jamboforums.com.

NOTE: Ukiwa na email ya @jamboforums.com usitie shaka juu ya junk mails au spamming mails... Hiyo inarahisisha kuandika email yako popote na spamming mails zitakuwa filtered kwenda kwenye junk/spam folder.

Karibuni
 
Kwa wale wenye barua pepe kupitia JF, tafadhali tembelea:

mail.jamboforums.com

na kusoma barua pepe zenu. Kuna ujumbe muhimu kwenu.

Kwa wale wenye kupenda kuwa na barua pepe kupitia JF ni ruksa, tuma ombi kwenda kwa invisible@jamboforums.com na itafanyiwa kazi haraka sana. Storage ni 6.5GB.

Karibu

Mkuu naomba uniwezeshe nami niwe na email account ya JF, natafuta na fulana niliziona kule kwa kaka Michuzi.....tulioughaibuni tutajipataje?
 
Kwa wale wenye barua pepe kupitia JF, tafadhali tembelea:

mail.jamiiforums.com

na kusoma barua pepe zenu. Kuna ujumbe muhimu kwenu.

Kwa wale wenye kupenda kuwa na barua pepe kupitia JF ni ruksa, tuma ombi kwenda kwa invisible@jamiiforums.com na itafanyiwa kazi haraka sana. Storage ni 6.5GB.

Karibu

Haya Inv.

Nami maombi yangu nayaleta mbele zako ewe Invisible ya
Utamaduni@jamiiforums.com

Nadhani nimepatia au maombi hayatumwi hapa hadi kwa EMS? :D

Shukrani.
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom