Huu sio utapeli kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu sio utapeli kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtu, Mar 19, 2008.

 1. M

  Mtu JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2008
  Joined: Feb 10, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapa mjini kumezuka kwa sasa sijui niite bahati nasibu au la katika sijui niita makampuni kama FOREVER la marekani NA POWER CLUB kutoka Italy.

  Kwa kifupi mtu unaweka kiasi flani cha pesa mfano kwa forever ni 450,000/= baabdae unapanda vyeo na kila ukipanda vyeo kw akuingiza watu chini yako fedha inaongezeka. Hii Power club yenyewe unatoa 295,000/= al;afu wanakupa kadi 3 na wewe unazitafutia wateja watatu na wao wanatoa kiasi hicho cha pesa lakini hapo aliyeko juu ndio mnamuwekea pesa the way watu wanavyozidi kuja nyuma yako ndio unapata pesa(?).

  Sasa nauliza hivi huu sio utapeli fulani?? maana wengine tunaogopa tulishalizewa na haya mavitu ya wazungu ile mbaya.

  Mwenye ufahamu na hizi mambo naomba anieleweshe tafadhali kama inawezekana na mimi nijuinge niweze kupata mamilioni
   
 2. a.9784

  a.9784 Senior Member

  #2
  Mar 19, 2008
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  If you have nothing to do comletely,join but if you have any MINOR business continue with it and not this daydream.
   
 3. Tanzania 1

  Tanzania 1 Senior Member

  #3
  Mar 19, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 197
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani haya makampuni yanafuata utaratibu km ule wa GNLD. Khs hawa GNLD naweza kukupa uhakika kwa asilimia kubwa kuwa si matapeli, ila inawafaa sana watu ambao wana muda mwingi wa kunadi bidhaa zao na kushiriki mikutano yao.

  Khs makampuni hayo uliyoyataja, jaribu kufanya uchunguzi zaidi, na pia jaribu kumuuliza vizuri yule aliyekupatia "kadi" ya kukutambulisha, na km yuko tayari kubeba jukumu iwapo utatapeliwa.
   
Loading...