Hawa wako wapi sasa?

Nyani, hivi ni kweli kuwa kuna baadhi ya macheck bob wa ShaabanRoberts walikuwa wanamtokea na kumhonga fegi?!!!!!!!! kufuru tupu!

Yule 0.5 wa Shebby anaitwa Pilla nadhani yuko wapi siku hizi?
 
ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!

eeeeebwana weeee,,, noma.. halafu saa nyingine alikuwa anatembea mpaka kule train station akiwa anaomba omba shilingi 5!!
duuh, weee chizi umenikumbusha mbali kichizi.... ukimwona tu mtu lazima ukatishe barabara..

Duh unamkumbuka mzee matonya? alafu kulikuwa na uvumi kuwa yule mzee alikuwa anamiliki mashamba na mifugo kibao huko kwao.
 
Again, watu wasikuzuge kuongelea siasa hapa ukawaona siyo watu wa mjini.... ni progression tu watu wanafanya katika maisha yao, hivyo unaweza kukuta Mkjj ni mtoto wa mjini kupita... wewe mchokoze akutolee data zako.... he he.

SteveD.

Umenena Steve D. Kila watu wana generation yao na mambo yao. Kwa mfano mimi nimeondoka Tanzania late 1980's. Vijiwe vyetu vilikuwa tofauti na vya miaka ya 90 au 2000!
 
jamaa wameibukia online

noma tupu yaani



kwanza.jpg

Pichani ni Wasanii wa Kikundi cha Kwanza Unit wakiwa katika picha ya pamoja,wasanii hawa ni wale wa mwanzo kabisa katika anga ya uasisi wa muziki wa kizazi kipya bongo yanii bongofleva. kutoka kushoto ni KBC -Kibacha,Babyii,Saigoni pamoja na Chief Ramson.

huyu saigoni yuko dunia gani jamani?
 
jamaa wameibukia online

noma tupu yaani



kwanza.jpg

Pichani ni Wasanii wa Kikundi cha Kwanza Unit wakiwa katika picha ya pamoja,wasanii hawa ni wale wa mwanzo kabisa katika anga ya uasisi wa muziki wa kizazi kipya bongo yanii bongofleva. kutoka kushoto ni KBC -Kibacha,Babyii,Saigoni pamoja na Chief Ramson.

huyu saigoni yuko dunia gani jamani?

Brazamen kwanza karibu saaaana baada ya kupotea kwa muda. Naamini uko "huru" shem kawivu kamepungua.

Umetaja watatu tu ila huyo 4 nasikia ndio wewe mwenyewe Promoter wao
 
jamaa wameibukia online

noma tupu yaani Pichani ni Wasanii wa Kikundi cha Kwanza Unit wakiwa katika picha ya pamoja,wasanii hawa ni wale wa mwanzo kabisa katika anga ya uasisi wa muziki wa kizazi kipya bongo yanii bongofleva. kutoka kushoto ni KBC -Kibacha,Babyii,Saigoni pamoja na Chief Ramson.

huyu saigoni yuko dunia gani jamani?

Brazamen kwanza karibu saaaana baada ya kupotea kwa muda. Naamini uko "huru" shem kawivu kamepungua.

Umetaja watatu tu ila huyo 4 nasikia ndio wewe mwenyewe Promoter wao
 
jamaa wameibukia online

noma tupu yaani



kwanza.jpg

Pichani ni Wasanii wa Kikundi cha Kwanza Unit wakiwa katika picha ya pamoja,wasanii hawa ni wale wa mwanzo kabisa katika anga ya uasisi wa muziki wa kizazi kipya bongo yanii bongofleva. kutoka kushoto ni KBC -Kibacha,Babyii,Saigoni pamoja na Chief Ramson.

huyu saigoni yuko dunia gani jamani?
Saigoni kapata shavu kitambo anarusha mawimbi EATV
 
Kurekebisha rekodi kidogo: Saigon hakuwahi kuwa Kwanza Unit. Isipokuwa nae aliasisi kikundi kingine kilichokuwa na umaarufu ulikokaribia, na kuna wakati ulipita, ule wa Kwanza Unit, The Diplomats.
 
Yeah Diplomats,KBC,Kwanza Unit,GWM,Mr 2,Adili aka Nigger 1, Nigas2Public,SOSI B, Bantu Pound. Nimechemsha wengine nimewasahau.
 
watoto wa Mjini utawajua tuu...thread imetazamwa na watu kibwena lakini wote wameingia mitini for simple reason walikuwa bado wako countryside wanawinda ndezi au walikuwa wako UD wanaandamana...na ni bora maana waatu tutajuana na tunaweza tukacheza santuri moja wale joni visomo wakija noma wataaanza na mamabo ohhh tunabaguliwa ohhh tulipanda meli ohh sijui nini yaani tabu tupu

Ebwana Rhymson nakumbuka alipata demu wa kijamaica ambaye ni mcanada na aliondoka naye lakini mara ya mwisho nilionyeshwa picha yake sikuamini jamaa naona ana kwenda kama YAAA'DI BWOY...au kuliko maana kawa mzee wa ROOTS

Ebwana hivi kati yenu nani alikuwa nakwenda GHRORFA ya SABA?


....au tayari tayari walikuwa watu wazima na wazingekuwa interested kufuatilia mambo ya watoto wao machekibobu! Heshima mbele, mheshimiwa.
 
Kabla ya Poolside, clouds disco lili hamia kwanza pahala fulani hivi opposite na Empire... kisha disco likawa lina hama hama na kati ya hapo na Twiga hotel (wakati huo), kabla hawajajigawa na kuanza kupiga Mayenu Tazara club...
SteveD.

Hapo mbona juzi tuu. Clouds ilianzia Seaview hotel (sasa yaitwa Courtyard hotel) wakati huo likiitwa Biribi (kabla ya Biribi kulikuwa na disco likiitwa Sansui). Btw, Sea view wakati huo ikimilikiwa na Frank Mareale.

Ukonamimi ?

Biribi ikahamia Surrender bridge club (formally called Italian Club). Ndipo braza-kaka wao aliporudi na vifaa vipya na kubadilisha jina ikaitwa Clouds.
DJ wao wakwanza akitwa Master G, akitumia mic yenye echo/repeater ...Upanga nzima mnasikia maecho tuu... 1 2 3 test 123123 testtest 123...it was crazy...

Madebe (nyimbo) za wakati huo zikiwa kama:

Rock your world (Tombaa funki) - Weeks & Co
macho - ??
Opps up side your head - Gap Band
Please don't go - KC & Sunshine
Spank - Jimmy Boo
So good so right - Imagination
Christmas rapping - Kurtis Blow


Mwanangu, we acha tu ........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom