Nahitaji Msaada Kuhusu Hii Message Ktk Pc Yangu

Misterdennis

JF-Expert Member
Jun 4, 2007
1,741
480
Heshima mbele Wakuu;

On a regular day, message ifuatayo inapop ktk screen ya PC yangu once or twice regardless of the application Im using at that particular time:

"The application DLL C:\WINDOWS\sytem32\xlibgfl254.dll is not a valid image" Check your installation disk.

Nikienda kuitafuta hiyo file, naambiwa: Windows cannot open
file: xlibgfl254.dll

Nimejaribu ku install yahoo messenger inafail inapokaribia mwisho wa installation, sijui kama hii failure inahusiana kwa njia yoyote ile na hilo file lenye ext dll hapo juu.

Naomba msaada ni kitu gani hii na how to go about in sorting it out.
natanguliza shukurani
 
Heshima mbele Wakuu;

On a regular day, message ifuatayo inapop ktk screen ya PC yangu once or twice regardless of the application Im using at that particular time:

"The application DLL C:\WINDOWS\sytem32\xlibgfl254.dll is not a valid image" Check your installation disk.

Nikienda kuitafuta hiyo file, naambiwa: Windows cannot open
file: xlibgfl254.dll

Nimejaribu ku install yahoo messenger inafail inapokaribia mwisho wa installation, sijui kama hii failure inahusiana kwa njia yoyote ile na hilo file lenye ext dll hapo juu.

Naomba msaada ni kitu gani hii na how to go about in sorting it out.
natanguliza shukurani

MrDennis,
Nakushauri uwe unafanya hivi always: Google the message, yaani unaichapa (type) message unayoipata kwenye google exactly kama ilivyo. Nina hakika utapata links nyingi tu zenye solution, watu dunia nzima huwezi kuwa wewe wa kwanza kuipata message hiyo. Watu walishahangaika nayo sku nyingi, wakauliza maswali wakajibiwa na wakaamua kuyapublicize kwenye web ili yasaidie na wengine sku za baadaye.ZINGATIA KUWA WHENEVER YOU GET ANY KIND OF A BUGG MESSAGE ON YOUR PC, PLEASE GOOGLE IT FIRST BEFORE YOU START LOOKING FOR HELP FROM FRIENDS,
GOODLUCK
 
Misterdennis,
Nami nimeigoogle hiyo dll file inayo pop kila mara kwenye pc yako.
Sehemu nyingi haijatatuliwa ipasavyo. Hiyo link aliyotoa shy inaonesha aina ya solution mbalimbali ya kutatua matatizo kama haya. Na mwisho wake wanasema, tu kuwa system kama iko compromised ni bora tu kuformat na kuinstall upya Windows yako.

Fanya backup ya ma file na unayohitaji/ documents na vinginevyo, kisha fanya hiyo format na re-installation. Najua kuna alternatives nyingi, lakini hilo jidubwasha ulilolikwaa 'xlibgfl254.dll' utatuzi wake kwa kutumia njia za antivirus na malware removers nyingine zitakupelekesha mbali kama hauko ndani sana na mambo ya ku-debug computer kupitia system registry n.k.

Kuna pahali pengi wameongelea COMBOFIX kama tool ya kuondoa hiyo compromise, lakini kama ujuavyo, tools nyingine ni kasheshe kutumia, na sehemu nyingi zitakuacha ukiwa umevuruga system yako bila hata mafanikio.
Kumiss kwa dll file inafanyika makusudi na hacking tools, ili waweze kuwa wanakutumia virus na madudu mengine. Na saa nyingine inatokea kama accident kutokana na software unayo iamini kuondoa dll file fulani kwa ajili ya kuruhusu communication baina ya kampuni inayotengeneza hiyo software na wewe.

Kama utakuwa mwingi wa kutatua mambo kama haya; kuna thread fulani hivi inaelezea mengi ambayo mtu unaweza kufanya ili kuondoa virus manually.

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=5078

Pole na tatizo lililokupata, hope utalitatua si muda mrefu.SteveD.
 
Makanyaga, shukurani kwa ushauri.

Shy, thanks.

SteveD; nimekupata mkuu. Thanks kwa maelezo ya kutosha. Nitafuata njia ulioshauri - kuformat upya.

weekend njema!
 
Just take you OS cd then just repair the os just boot with OS cd the select repair the OS (operation system) automatically or if you have internet just update you OS


Cheers

bob1
 
Back
Top Bottom