Recent content by kempton park

  1. kempton park

    JamiiForums Tanzania Mafikizolo- Emlanjeni (Meet me at the river)

    eMlanjeni ( river )
  2. kempton park

    JamiiForums Tanzania Kwa ukuta huu wa Juventus,hawa Monaco leo hawatapata goal lolote

    Hongera mzee
  3. kempton park

    JamiiForums Tanzania Kwanini saba iwe moja kwenye masaa?

    Nipo south Africa nilikuwa na wakati mgumu kumuelewesha rafiki yangu mzimbabwe hii issue
  4. kempton park

    JamiiForums Tanzania Sikio limeziba

    Na Mimi vivo hivyo tusaidieni jamàni
  5. kempton park

    JamiiForums Tanzania Kwanini kunguru akifa hatoki funza?

    Wakati mwengine akigusa tumbo lake anaipata fresh
  6. kempton park

    JamiiForums Tanzania Mahiga: Wanaofukuzwa Msumbiji ni wahamiaji haramu

    Hii serikali iña roho mbaya sana Kwa wananchi wake, so wakiwa haramu awasaidiwi?
  7. kempton park

    JamiiForums Tanzania Majiji ya Tanzania bado yana safari ndefu kuifikia Dar

    Mmh tutake radhi mkuu
  8. kempton park

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea huko Pretoria South Africa

    Upo sahihi kabisa hii mijamaa aijui chochote Kuhusu historia na ni mkaburu alifanya hivo makusudi ili wasijanjaruke aendelee kuwaburuza
  9. kempton park

    JamiiForums Tanzania Bunge la Rwanda lapiga kura kukifanya Kiswahili kuwa lugha rasmi

    Mimi nipo hapa South Africa official languages ni 14 nadhani ni jambo zuli sana Kwa rwanda
  10. kempton park

    JamiiForums Tanzania Vita Dhidi ya Dawa Za Kulevya: Makonda Anapaswa Kuhojiwa!

    Utafiti wake aujanyooka vizuri, si kweli kwamba kg 50 zibebwe na watu 50 unga ndio una faida kubwa ila sio kama wengi wanavofikiri, kugharamia visa na tickets show money Kwa watu 50 kwa kg 50 hakuna tajiri ataefanya biashara ya kichaa kama hiyo.
  11. kempton park

    JamiiForums Tanzania Vita Dhidi ya Dawa Za Kulevya: Makonda Anapaswa Kuhojiwa!

    Acha uongo
  12. kempton park

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Trump

    Kukosea kuandika aimaanishi ajui kuongea kaka, pengine ajui tu kuandika kiingereza vizuri kama ambavyo wapo wasiojua kuandika kiswahili na wanakiongea
  13. kempton park

    JamiiForums Tanzania Bukoba vs Moshi

    Nimewai kufika Moshi ila sikuwahi fikiria bukoba nayo imejitahidi kiasi hichi ingawaje bado aifikii Moshi
Back
Top Bottom