Vita Dhidi ya Dawa Za Kulevya: Makonda Anapaswa Kuhojiwa!

Let’s dump all cra'ps and get down to the nitty-gritty!! Paul Makonda amevurunda kwa kiasi kikubwa issue ya mihadarati!

Tuweke kwanza pembeni masuala ya bangi na tujikite kwenye cocaine na heroine!

Jana Kamanda Simon Sirrro ameripotiwa akisema waliokamatwa hadi hivi sasa ni watu 349 na pipi 601 za heroine na cocaine zimekamatwa!!

Endapo hizo pipi zingekamatwa toka kwa Punda wanaomeza mzigo; pipi 601 ni almost 6 kg zinazoweza kubebwa na punda 6 pekee... maximum 10 unless kama unatumia amateurs!!

Remember, Punda wanaomeza mzigo wanawafanyia kazi SME Drug Dealers kwa maana ndio wanatumia hiyo njia!! Drug Dealers wa ukweli washaachana na hivi vipipi ambavyo vinaongeza risk kwa sababu, ONLY 50 Kg utahitaji angalau Punda 50 kama utataka kusafirisha kwa mara moja!!

Kinyume chake, wana-opt kusafirisha mzigo mzima mara moja... wakikamatwa; wamekamatwa na wakitoboa wanakuwa wametoboa kweli kweli!

Kwahiyo ni kichekesho kama sio kiroja kutamba huku na kule kwamba vita dhidi ya dawa za kulevya imepamba moto wakati mihadarati iliyokamatwa ni equivalent to Punda 6!!

Punda 6 wanaweza kupatikana kwenye kata moja tu ya Wilaya ya Temeke ambayo ni chamtoto mbele ya Kinondoni linapokuja suala la idadi ya Punda! Kwa Magomeni, Punda 6 unaweza kuwapata kwenye mtaa mmoja tu!!

Mwaka 2012 Maureen Lyumba alikamatwa na 210 kg za heroine! 210 kg ni equivalent to Punda 200 waliokamatwa na mzigo red-handed compared na equivalent to Punda 6 waliokamatwa hivi sasa!!

Hapo hapo kwa Maureen, uchunguzi ulionesha Drug Baron anayehusika na mzigo ni Shikuba... watu hawakupiga makelele!!!

Ingawaje Shikuba alichoropoka na kukimbilia Afrika Kusini lakini waliendelea kumuwinda kimya kimya hadi walipomdaka miaka 2 baadae pale airport (Dar) wakati akitokea SA!!

Bila shaka kwa staili hii ya Makonda, angeitisha Press Conference na kuanza "Yulee drug baron anayefahamika hadi na serikali ya Marekani tumepata taarifa anakuja kutokea South Afrika! Tumeshawaambia Uhamiaji na askari wa airport ili akitia pua tu; akamatwe!!!"

Hicho ndicho alifanya kwenye episode 1 !! Makonda alitangaza hadharani kwamba kuna mtu wanamlia mingo pale airport na anatokea China na mzigo wa kutosha!!

Ni mpumbavu gani angeendelea na saafari hata baada ya kuwa ameambiwa tunakusubiri airport?!!!

Mwaka 2013 kuna "Mchungaji" alikamatwa na 40 kg za heroine kule Tegeta lakini Nzowa aligoma kabisa kumtaja kwa kile alichosema ingeharibu uchunguzi!!! "Mchungaji” huyo alikamatwa na raia wawili wa kigeni.

Hata hao raia wawili, Nzowa aligoma kuwataja!!!

Mwaka juzi (Early november 2015) wakati watu wapo kwenye shamra shamra na wengine kwenye maumivu ya uchaguzi mkuu; kuna Mchungaji raia wa Nigeria alihukumiwa kwenda jela miaka 30 na faini sh. 9 billion! Pamoja nae, kulikuwa na raia mwingine wa SA na mwingine wa Pakistani!

Huyu ilidaiwa alikamatwa Kunduchi kwa kukutwa na 80kg za heroine.... compare from 40 kg above!!

Now look... yule "Mchungaji" ambae Nzowa aligoma kumtaja mwaka 2013 alitokea Tegeta, alikuwa na raia wengine wa kigeni 2, alikutwa na 40 kg!!

Na yule aliyehukumiwa 2015 nae alikuwa ni "mchungaji", anatokea Kunduchi, alikuwa na raia 2 wa kigeni na mzigo 80 kg!!!

Ukiunganisha dots hapo utagundua kwamba yule ambae Nzowa aligoma kumtaja mwaka 2013 ndie yule yule aliehukumiwa 30 years mwaka 2015!!!

What if wangepiga kelele kwenye live tv coverage kwamba wamemkatama mchungaji so and so!!! Unadhani hizo additional 40 kg zingepatikana?!

Hapa si kwamba naupongeza uongozi wa Nzowa... hata nae alikuwa ni failure!! Lakini pamoja na yote hayo bado utaona ni namna gani pamoja na failure ya Nzowa lakini matukio yake machache yalikuwa na impact kubwa kuliko haya tunayoambiwa eti vita imepamba moto!!!

Hapa let's call a spade a spade!! Makonda ameharibu moja kwa moja what's so called vita dhidi ya dawa za kulevya!!! Na ninavyoona, anastahili kabisa kukamatwa na kuhojiwa ili kufahamu ikiwa alichofanya si kwamba alikusudia kutoa tahadhali kwa real drug barons ili wafiche ushahidi!!!

Na ni kutokana na hatua hii ya Makonda ndio maana Kamanda Sirro hana namna zaidi ya kwenda kuwapima watuhumiwa kwa Mkemia Mkuu! Anachukua huo uamuzi kwa sababu anafahamu hawatakuwa na kesi yenye ushahidi dhidi yao baada ya kuwa walishapewa muda wa kupoteza kabisa ushahidi!

Hivyo, ni bora kwa Kamishina Sirro awapate japo na kesi ya kutumia dawa za kulevya ili ionekane vita vinapamba kasi kuliko kuwaachia mamoja!!!!

Na hapa utaona kwamba wale wanaomuunga mkono Makonda wanatetea wauza mihadarati wakubwa kwa sababu wanafahamu kwa staili yake hii hawatapatikana na hatia kinyume na wanavyotaka tuamini!!
maneno ya busara
 
Azani alitajwatajwa sana kuhusika na uuzaji wa madawa ya kulevya,lakini sasa anamshukuru Makonda kwa kumtuhumu na sasa amesafishika Si mhusika tena wa biashara hiyo (kirahisi hivyo) haramu
Inasikitisha sana iyo.
 
sema ukweli
Utafiti wake aujanyooka vizuri, si kweli kwamba kg 50 zibebwe na watu 50 unga ndio una faida kubwa ila sio kama wengi wanavofikiri, kugharamia visa na tickets show money Kwa watu 50 kwa kg 50 hakuna tajiri ataefanya biashara ya kichaa kama hiyo.
 
Vita ni vita mura lakini mkiweka kamanda feki mtapigwa tu
 
Zoezi zuri Makonda sitamsifia kama ni kamanda vitani tayari alishaharibu malengo na kumnufaisha adui adhabu yake ni kupigwa risasi hadharani kwa hiyo mamlaka imchunguze sana kuna kitu nyuma ya pazia ya vita hii
 
Utafiti wake aujanyooka vizuri, si kweli kwamba kg 50 zibebwe na watu 50 unga ndio una faida kubwa ila sio kama wengi wanavofikiri, kugharamia visa na tickets show money Kwa watu 50 kwa kg 50 hakuna tajiri ataefanya biashara ya kichaa kama hiyo.
Umenisoma kwa vituo ukanielewa?! Nimezungumzia suala la faida au nimezungumzia uwezo wa kubeba?! Kwamba, kama unategemea wameza pipi; basi utatakiwa kuwa na Punda takribani 50 kusafirisha 50kg kama utataka kusafirisha kwa wakati mmoja!!!
 
Niliwasikia watu wakitukana matusi tulipojaribu kusema kuwa Makonda kakosea. Wakasimama kwenye majukwaa ya mirengo yao ya kisiasa wakatukana na kutukana na kutukana. Sasa angalau somo limeanza kueleweka. Nchi hii ina mashabiki wengi mno na ushabiki ni badala ya uelewa
 
mimi kwa jinsi navyoona,makonda anahuska katika hili suala la madwa ya kulevya. Investment zake na mali zake hazilingani kabisa. Naweza kusemwa kuwa alilipwa kwa makusudi ya kusafisha watu au mtu fulani na kutoa kafara mtu fulani kwa maslahi binafsi au ushindani.
Hapa manji pamoja anaweza kuwa anatumia lakni siaamini kuwa anauza.

Jamuhuri isipo mshikilia Makonda basi hakuna kitu hapa. Hawa kingpins wa madawa wamebadilisha mchezo kwa kumtumia makonda.

Makonda,you can fool people sometimes,but you cant fool people all the time.
 
Vita hii ushindi wake haupimwi kwa punda waliokamatwa. Vita hii ushindi wake ni kitimtim na kimuyemuye wanachopata wauza unga. Hao mapapa kwa kipindi hiki hawatapitisha mzigo.
Mimi binasfi sikufurahishwa na kukatwa kwa spidi ya Makonda. Kuweka mambo hadharani kuliwatoa sana upepo madila wa unga.
Sasa huyu Sianga sioni chochote atakachofanya ambacho hakijafanywa miaka ya nyuma bila ya mafanikio.
Trust me, you're addicted to political dram... nothing less, nothing more!! Yaani kabisa unaamini kutangaza watu hadharani ndo kutafanya drug dealers wasiingize madawa?! Very funny!!!

Who cares ukimtaja chige hadharani kwamba ni drug dealers wakati hauna uwezo wa kunikamata na kuthibitisha kwamba am drug dealers?! Tuna ukanda wa pwani wa takribani 1000 km... yaani unaamini watu watashindwa kupitisha mzigo huko kwa hofu ya kutangazwa?!

Kuna mwenzako mmoja nimemuuliza lakini bado hajanijibu labda nijibu wewe sasa!! Kati ya wote waliotangazwa; ni wangapi unawafahamu ukiondoa wale public figures ambao umewafahamu si kwa sababu walitangazwa?! Why should I care kwamba Tizedi Tizo atafahamu kwamba nauza dawa za kulevya wakati he don't even know how I look like!!!! Hivi unadhani majirani wa hawa wauza unga hawawafahamu kwamba ni wauza unga?! Sasa wewe wa mbali kabisa hata ukifahamu itampunguzia nini wakati hata kumjua humjui?!!

Look, haya ni baadhi ya majina yaliyotajwa kwenye episode two:
UNga.png

Now tell me; ni nani kati ya hao akikuona anaweza kujificha kwa sababu unajua kwamba ni drug dealer?!!

Guys, nadhani mmesahau kwamba hata mkitangaziwa list ile ile kila siku bado haitawafanya muwafahamu wauza unga bali mtaweza tu kufahamu majina ya wauza unga... do you see the difference?! Hicho unachoona kingekuwa ni embarrassment kwa wauza unga endapo matangazo hayo yangekuwa yanaambatana na picha zao lakini sio majina!!

Lakini uzuri ni kwamba, hatimae hata serikali wenyewe wameshaona huwezi kusaka wauza mihadarati kwa kuanza kuwatangazia kwamba tunakuja kukukamata!! Hata kwenye nchi ya Mfalme Juha, wasingeweza kufanya ujuha kama huu!!!
 
Ok sasa umenyosha na ume eleweka. Hebu fafanua tena mchungaji huyo huyo anaweza vipi kukamatwa 2013 na 2015?

Je serikali yetu haina uwezo wa kumgundua mtu anayetumiwa na wauza mihadarati kwa manufaa yao na yake huyo mtumiwa?

Na washawasha!

Na ndio maana nikakumbia huelewi!! Ninataka uelewe ambacho sikuandika wakati tangu mwanzo nimeandika:
Sijaandika hapo kwamba "ALIKAMATWA?!!" Angalia post #2 ambayo MWALLA ameni-quote kama hujaona hilo neno "alikamatwa...!" Kuonesha kwamba lipo tangu mwanzo ili usije kusema nime-edit!!

Yaani, ingawaje tayari alikuwa ameshakamatwa lakini bado Nzowa aligoma kutaja ni nani amekamatwa contrary na sasa ambapo kabla wahusika hawajatiwa nguvuni; wanaanza kupiga mayowe kwamba XYZ wanahusika na dawa za kulevya as a result wakienda hawakuti kitu!!!
 
Ok sasa umenyosha na ume eleweka. Hebu fafanua tena mchungaji huyo huyo anaweza vipi kukamatwa 2013 na 2015?

Je serikali yetu haina uwezo wa kumgundua mtu anayetumiwa na wauza mihadarati kwa manufaa yao na yake huyo mtumiwa?

Na washawasha!
Hakuna niliponyoosha ni wewe mwenyewe ndie hukuelewa!! Na hata sasa bado unaonesha hujaelewa... sijui unakimbilia wapi badala ya kusoma kwa vituo!!!

Ni wapi nimesema mchungaji alikamatwa 2013 na 2015?!

Hivi kukamatwa na kuhukumiwa ni kitu kile kile?!
Mwaka juzi (Early november 2015) wakati watu wapo kwenye shamra shamra na wengine kwenye maumivu ya uchaguzi mkuu; kuna Mchungaji raia wa Nigeria alihukumiwa kwenda jela miaka 30 na faini sh. 9 billion! Pamoja nae, kulikuwa na raia mwingine wa SA na mwingine wa Pakistani!
Kisha hapa:
Ukiunganisha dots hapo utagundua kwamba yule ambae Nzowa aligoma kumtaja mwaka 2013 ndie yule yule aliehukumiwa 30 years mwaka 2015!!!

Hilo la serikali ni serikali wenyewe ndo wanaweza kujibu ikiwa wanao huo uwezo au hawana!!!!

Ushauri wangu ni kwamba, uwe unasoma kwa vituo!! Kama thread ni ndefu mno kwako kuweza kuisoma basi ni bora ukaacha kuchangia kuliko kuchangia kitu ambacho hakipo!!!

Kinyume chake ndo hayo unahoji "how come mtu huyo huyo akamatwe 2013 na 2015" wakati hakuna popote niliposema hayo!!!
 
Soma hizo kotis zako halafu ni jibu baada ya kuconnect dots, vipi mchungaji huyo huyo aliweza kukamatwa mara mbili 2013 na 2015.

Na washawasha!

Mwaka 2013 kuna "Mchungaji" alikamatwa na 40 kg za heroine kule Tegeta lakini Nzowa aligoma kabisa kumtaja kwa kile alichosema ingeharibu uchunguzi!!! "Mchungaji” huyo alikamatwa na raia wawili wa kigeni.

Hata hao raia wawili, Nzowa aligoma kuwataja!!!

Mwaka juzi (Early november 2015) wakati watu wapo kwenye shamra shamra na wengine kwenye maumivu ya uchaguzi mkuu; kuna Mchungaji raia wa Nigeria alihukumiwa kwenda jela miaka 30 na faini sh. 9 billion! Pamoja nae, kulikuwa na raia mwingine wa SA na mwingine wa Pakistani!

Huyu ilidaiwa alikamatwa Kunduchi kwa kukutwa na 80kg za heroine.... compare from 40 kg above!!

Now look... yule "Mchungaji" ambae Nzowa aligoma kumtaja mwaka 2013 alitokea Tegeta, alikuwa na raia wengine wa kigeni 2, alikutwa na 40 kg!!

Na yule aliyehukumiwa 2015 nae alikuwa ni "mchungaji", anatokea Kunduchi, alikuwa na raia 2 wa kigeni na mzigo 80 kg!!!

Ukiunganisha dots hapo utagundua kwamba yule ambae Nzowa aligoma kumtaja mwaka 2013 ndie yule yule aliehukumiwa 30 years mwaka 2015!!!
 
Vipi kama china wameshagundua kuutengeneza wa bandia. Maana hata nido maziwa wachina waliyatengeneza ikawa mshike mshke kipindi flani hapa.

Pili kwa nini hao wachungaji walio kamatwa isiwe moja ya hii vita ya magenge kinzani ya biashara ya mihadarati. Genge moja kutumia mamlaka kulimaliza genge lingine. Hili ni suala linalo tafakarika.

Na washawasha!
Ungekuwepo wa bandia wasingeuleta huku.wao wenyewe demand imezidi supply
 
Soma hizo kotis zako halafu ni jibu baada ya kuconnect dots, vipi mchungaji huyo huyo aliweza kukamatwa mara mbili 2013 na 2015.

Na washawasha!
We jamaa una matatizo si bure! Wapi nimeandika amekamatwa 2013 & 2015?!! Kama hujui kusoma sema...
 
Sijawahi kuona mwindaji akiwinda huku anapiga ngoma. Labda huyu askari wa mapoda bongo.
Na usishangae kuna wataotetea eti kathubutu wengine hawakuifikia hiyo hatua ya kutuhumu.
Nauliza tu, hivi ni kweli yeye licha ya kuwa rais wa mkoa wenye watu wengi ni marketing officer wa gsm?
Sio. Ni mlinzi tu.
 
Hivi JPM aliwaza nini kumteua Makonda awe RC Dar? Inamaana haoni hata thinking ability yake ilivyo ndogo? Achilia mbali busara?

Kama hawa ndio viongozi wetu? Basi nchi ya viwanda tutaionea kwenye TV.
Jamaa kasimomea uvuvi unatarajia nn
 
Back
Top Bottom