Kinachoendelea huko Pretoria South Africa

Mzawa Nation

Member
Feb 15, 2017
50
53
Tayari wanaigeria kadhaa washa uawa na wengine wapo hoi hospitali- ila hakuna mbongo aliye athirika na kinachoendelea huko Pretolia West mpaka sasa-- tarehe 24 na 25 mwezi huu- ndo wamepanga kumchakaza kila aina ya mgeni ilimradi tu akiwa ni mwafrika-
b0e1b60bce206c84e316a17433596ac4.jpg
049fc485a47d7b811f1704918417c9ef.jpg
66737b3fe4d8aa25143efc15302e399f.jpg
 
Awamu ya kwanza walisema waafrica wanaenda kule na wanashusha mishahara kama kazi ya kulipwa dola 3000 kwa mwezi wao wapo tayari walipwe 1000 ndo wakafukuzwa je saiz wamekuja na lipi??
 
Back
Top Bottom