Mkuu chaUkucha
Sio kweli Kunguru hapigwi shoti ya umeme coz ya sumu iliyopo ndani ya damu yake,
Unajua hakuna shoti kama hakuna "potential difference" katika terminals za kifaa chochote kile,
Kunguru anapokanyaga waya mmoja kunakua hakuna "Partial discharde ( p.d ) lakini kama akitanua miguu yake na kukanyaga waya mbili atapigwa na shoti na kugeuka majivu in a seconds!
Chukulia mfano wa binaadamu,yeye anatengeneza partial discharge (p.d) kati ya waya na "earth"
Yani binaadamu anapokuwa kasimama ardhini, lakini kama akining'inia kwenye waya kwa mkono mmoja au hata kwa mikono yake yote miwili ikiwa karibukaribu hakuna madhara mradi hagusi chochote kinachogusana na ardhi. Lakini kama akitanua mikono yake itakua anatengeneza partial discharge na lazima apigwe na shoti,
Kitu kingine,Kunguru miguu yake ina magamba ambayo ni "Insulation" hii humsaidia asipigwe na shoti hata akigusa miguu yote hatapata shoti,ila hiyo insulation yake ni kwa umeme mdogo tu kama vile 1V to 450V kwa umeme mkubwa hiyo insulation yake miguuni haitomsaidia kitu.