Joe Doe
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 484
- 917
Habari wakuu
Kuna hii nyimbo ya kundi la Mafikizolo iitwayo Emlanjeni (meet me at the river). Ni nyimbo ambayo kwa kweli inaugusa moyo wangu hasa.
Kuanzia mapigo ya muziki, mpangilio wa sauti na setting ya video.
Ni nyimbo ya zaman toka 2003 lakini haichoshi kusikiliza ingawa lugha ni ya kizulu.
Imekua ni mojawapo ya nyimbo ninazosikiliza kabla ya kupotelea usingizini, nikiwa ofisini inaimba kwenye desktop, nikiwa barabarani inaimba kwenye fikra zangu.
Kwangu mimi ni bonge la ngoma kutoka kwa hawa jamaa (halafu nashangaa hawazeeki hawa watu, maana kitambo sana nawasikia kwenye game)
Nadhani utakua umeshaisikia sikia, naomba uicheki nawe uenjoy some good music
(audio imegoma kua attached)