lakini badi 7 haitasomeka kama saa saba boss elewa swali.ukiona siyo sahii acha kutumia, kuna 24 hours mode, weka hiyo uanze kuhesabu masaa kuanzia moja mpaka ishirini na nne
Unachotakiwa kujua ni kwamba pamoja na mambo mengine wao masaa ya usiku na mchana hayapo uniform wkt mwingine usiku ni mdogo mno kuliko mchana na vise versa..sisi tuna bahati tupo equator ambapo in average mchana na usiku ni sawa. Nafikiri ndo maana wao hawana issue mchana na usiku kama reference ya masaa.Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali
Kwajyo namba inabadilika uhalisia kutokana na lugha?Umetumia saa za kiswahili kuuiliza namba za saa zinazotumiwa na wangereza. Kiswahili saa moja ni saa 1. Kingezeza hawajasema saa 1 wanasema Seven o'clock. Saa 1 ni kiswahili.
Na washawasha!
Kwajyo namba inabadilika uhalisia kutokana na lugha?Umetumia saa za kiswahili kuuiliza namba za saa zinazotumiwa na wangereza. Kiswahili saa moja ni saa 1. Kingezeza hawajasema saa 1 wanasema Seven o'clock. Saa 1 ni kiswahili.
Na washawasha!
Ukitaka iwe kama unavyotaka inawezekana unaanza siku saa 12:00. Asubui jioni saa12:00,nusu siku. Asubui unaanza siku nyingine.Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali
Siku unaanza SAA saba usiku au SAA sita usiku sijakupata hapo mkuuKama mwenzetu mmoja alivyokueleza hapo mwanzoni, utaratibu wa muda unaotawala dunia ni wa wazungu. Tukichukulia kwa Kiswahili au kwa mazoea yetu, tuna ama saa moja asubuhi au usiku, na kwa saa saba ni hivyo hivyo. Kwa utaratibu wa dunia, siku inaanza usiku, pale sisi tunaposema ni saa 7 usiku, ndio mwanzo wa siku/tarehe mpya, ndio maana wao wanasema 1. Tofauti ni kuwa sisi tunatumia zaidi masaa 12, ila wao wanatumia masaa 12 pia na masaa 24 kwa mambo ya utaalamu zaidi.
Tofauti nyingine, ni pale sisi tunapoita ile saa 7 usiku ni usiku, wao wanaita ni 1 asubuhi (am). Saa 1 asubuhi yetu, wao ni mwendelezo wa walichoanza nacho tangu ile saa 7 ya usiku yetu, hivyo wao ni 7am. Saa 7 mchana ya kwetu, kwao (kwa masaa 12) ni saa 1 pm, (kwa masaa 24) ni saa 13, na jioni yao ndio inaanzia hapo.
Mkuu tatizo ni kwamba sisi waswahili(namaanisha tunaotumia kiswahili) kwa utamaduni wetu na lugha yetu tunaanza kuhesabu masaa kuanzia saa kumi na mbili na dakika moja asubuhi na kila ikifika/ikitimia masaa 12 tunaanza upya kuhesabu moja (kwa kitaalamu masaa yetu ni "modulo 12" au tuite "base 12"). Lakini waliotuletea lugha yao ya kiingereza utamaduni wao wanaanza kuhesabu masaa kuanzia saa sita kamili usiku ambao ndio mwanzo wa siku kwa mujibu wa Gregorian callender.Ukinambia nitumie 24hrs bado ntakuuliza swali maana hats huko sa moja ni 19 badapa ya moja kama moja SAA saba ni 13 badala ya saba kama saba
Au unamaanisha nn
Thanks mkuuMkuu tatizo ni kwamba sisi waswahili(namaanisha tunaotumia kiswahili) kwa utamaduni wetu na lugha yetu tunaanza kuhesabu masaa kuanzia saa kumi na mbili na dakika moja asubuhi na kila ikifika/ikitimia masaa 12 tunaanza upya kuhesabu moja (kwa kitaalamu masaa yetu ni "modulo 22" au tuite "base 12"). Lakini waliotuletea lugha yao ya kiingereza utamaduni wao wanaanza kuhesabu masaa kuanzia saa sita kamili usiku ambao ndio mwanzo wa siku kwa mujibu wa Gregorian callender. Na wao pia wanatumia "modulo 12" isipo kuwa wao wanakuwa wameanza tangulia kuhesabu masaa kwa masaa 6 kabla yetu kwa hivyo sisi tunapoanza moja wao tayari katika kipimo chao au jedwali lao la muda linakuwa linasoma 7 wakati letu ndio tunakamilisha 1. Yaani toka saa sita na dakika moja usiku hadi saa kumi na mbili na dakika moja asubuhi wao wametimiza masaa 6 ndipo sisi waswahili tuna amka na kuanza kuhesabu zile dakika kisha ikitimia dak 60 wao itasoma saa la 7 limetimia sisi itasoma saa 1 lime/imetimia.
Maana Ya Modulo: Nikisema modulo 12 maana yake hivyo vitu iwe namba, au masaa unatakiwa ugawanye kwa vipande au mafungu au vipimo 12 vilivyo sawa kupata kitu kamili au mzunguko kamili. Kwahivyo ili kujua mizunguko mingapi unagawanya kwa 12 na kinachobaki unaendelea hivyo hivyo. Sasa kwa muktadha huu mzunguko kamili wenye vipimo 12 ni nusu moja ya siku. Ile saa ya masaa 24 tunatumia "modulo 24". Ndio maana wao ikitimia masaa 19 toka walipoanza kuhesabu saa sita kamili usiku, hivyo 19÷12=1 Remainder(baki) 7 kisha ktk saa zao itasoma hiyo Remainder(baki) 7 huku sisi waswahili inakuwa yametimia masaa 13, sasa 13÷12= 1 Remainder(baki) 1, hivyo ktk saa zetu itasoma hiyo remainder(baki) 1. KIFUPI MODULO OPERATION NI HESABU ZA REMAINDER AU GAWANYA NA BAKI KWA KISWAHILI. Mwisho karibu ktk ulimwengu wa hisabati. Na ukumbuke karibu kila kitu ktk maisha yetu nyuma yake kuna hisabati/hesabu ni namba tupu kuanzia mpangilio navuwiano wa vinasaba vyako hadi kuhesabu majira. Wale watu wa Crytography au crytoanalysis au Computer, Digital circuits, Mathematicians, Descrete Mathematics, e.t.c wamenielewa vizuri ktk somo hili. Hata wa arts ambao wanavichwa vyepesi wamenielewa. NB: Hapo penye 19÷12=1 baki 7 tunaandika 19 mod 12 = 7, hatuweki hiyo moja tunaweka baki 7 tu. Ila ningeaandika 19÷12=7 nisingeeleweka.
Saa 6 usiku au 00.00 hoursSiku unaanza SAA saba usiku au SAA sita usiku sijakupata hapo mkuu
Jibu rahisi kwa elimu ya kawaida ni kwa walio tufundisha kuhesabu saa sio Kuangalia jua. Siku ina saa 24. 12nusu ya mchana na nusu ya usiku, saa 6+6. Na saa 6 usiku wamanane na saa 6 asubui mpaka mchana. Kwahiyo unapoanza kuhesabu asubui unakuwa umeachwa nyuma saa 6.Mkuu tatizo ni kwamba sisi waswahili(namaanisha tunaotumia kiswahili) kwa utamaduni wetu na lugha yetu tunaanza kuhesabu masaa kuanzia saa kumi na mbili na dakika moja asubuhi na kila ikifika/ikitimia masaa 12 tunaanza upya kuhesabu moja (kwa kitaalamu masaa yetu ni "modulo 12" au tuite "base 12"). Lakini waliotuletea lugha yao ya kiingereza utamaduni wao wanaanza kuhesabu masaa kuanzia saa sita kamili usiku ambao ndio mwanzo wa siku kwa mujibu wa Gregorian callender. Na wao pia wanatumia "modulo 12" isipo kuwa wao wanakuwa wameanza tangulia kuhesabu masaa kwa masaa 6 kabla yetu kwa hivyo sisi tunapoanza moja wao tayari katika kipimo chao au jedwali lao la muda linakuwa linasoma 7 wakati letu ndio tunakamilisha 1. Yaani toka saa sita na dakika moja usiku hadi saa kumi na mbili na dakika moja asubuhi wao wametimiza masaa 6 ndipo sisi waswahili tuna amka na kuanza kuhesabu zile dakika kisha ikitimia dak 60 wao itasoma saa la 7 limetimia sisi itasoma saa 1 lime/imetimia.
Maana Ya Modulo: Nikisema modulo 12 maana yake hivyo vitu iwe namba, au masaa unatakiwa ugawanye kwa vipande au mafungu au vipimo 12 vilivyo sawa kupata kitu kamili au mzunguko kamili. Kwahivyo ili kujua mizunguko mingapi unagawanya kwa 12 na kinachobaki unaendelea hivyo hivyo. Sasa kwa muktadha huu mzunguko kamili wenye vipimo 12 ni nusu moja ya siku. Ile saa ya masaa 24 tunatumia "modulo 24". Ndio maana wao ikitimia masaa 19 toka walipoanza kuhesabu saa sita kamili usiku, hivyo 19÷12=1 Remainder(baki) 7 kisha ktk saa zao itasoma hiyo Remainder(baki) 7 huku sisi waswahili inakuwa yametimia masaa 13, sasa 13÷12= 1 Remainder(baki) 1, hivyo ktk saa zetu itasoma hiyo remainder(baki) 1. Kama masaa uliyohesabu toka mwanzo wa siku hayazidi 12 basi unachukua hiyo namba jinsi ilivyo ndio saa yako itasoma hivyo, mfano 2 ÷ 12= 0 baki 2 hivyo hapo saa itasoma hoyo baki 2. KIFUPI MODULO OPERATION NI HESABU ZA REMAINDER AU GAWANYA NA BAKI KWA KISWAHILI. Mwisho karibu ktk ulimwengu wa hisabati. Na ukumbuke karibu kila kitu ktk maisha yetu nyuma yake kuna hisabati/hesabu ni namba tupu kuanzia mpangilio navuwiano wa vinasaba vyako hadi kuhesabu majira. Wale watu wa Crytography au crytoanalysis au Computer, Digital circuits, Mathematicians, Descrete Mathematics, e.t.c wamenielewa vizuri ktk somo hili. Hata wa arts ambao wanavichwa vyepesi wamenielewa. NB: Hapo penye 19÷12=1 baki 7 tunaandika 19 mod 12 = 7, hatuweki hiyo moja tunaweka baki 7 tu. Ila ningeaandika 19÷12=7 nisingeeleweka.
Kwajyo namba inabadilika uhalisia kutokana na lugha?
Kuwa muwazi tu kwamba Warumi ndio chanzo cha yote haya....walioamua kila penye saa halisi kuongezwa 6 kwa mfumo wa masaa 12 na kutoa 6 kila penye mfumo wa masaa 24
Siku kwako inaanza muda gani huyu anaanza katikati ya usiku we unaanza asubui. Anayeanza kuhesabu usiku mpaka asubui amekuacha saa 6.Kwa hiyo unataka kusema uhalisia unabadilishwa na namba? Ukisema 7 o'clock am/pm si saa moja asubuhi/jioni kiswahili. Yaani ni saa 7 mchana/usiku? Hili la warumi ndio nalisikia leo si kulijua hapo awali.
Na washawasha!
Hapa kuna mtunga kalenda mmoja kutokea mamlaka ya Vatcan kule Roma ndp alituchanganyia habari hizi..kutuambia wiki ina siku 7 lakini ndani ya mwezi eti unakutana na iku 30 na 31.why zisiwe 28?kiukweli na kiuhalisia ikiwa asubuhi mpaka jioni ni siku moja na kutoka jioni kwenda asubuhi tena ni siku nyingine.hivyo tuHabari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali
Ajabu ni kwamba mwaka mpya ukifika woote tunasheherekea saa sita usiku. Kesho yake watu wanakuuliza kwa nini saa moja asubuhi inasomeka saa 7. Mbona hamusheherekei hiyo saa 1 asubuhi?
Labda nikuulize una umri gani??Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali