genacide
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 125
- 124
Hapendi utumwa ndo maana hana muda wa kuizijua lugha za watu wakati ana lugha zake.yaani madanganyika bado matumwa ambayo yanaona ufahari sana kujua kiingereza kuliko hata lugha zao.tusiwe watumwa.Kwani uwongo? Kuwa sizonje hajui ngeli?