Sikio limeziba

Mar 3, 2017
14
6
Ni mara tu baada ya kulisafisha kwa kuingiza maji wakat nachukua udhu liliingia maj likaniuma na sasa halisikii.Naombeni msaadan nilitibu vipi?
 
Ni mara tu baada ya kulisafisha kwa kuingiza maji wakat nachukua udhu liliingia maj likaniuma na sasa halisikii.Naombeni msaadan nilitibu vipi?

tumia mafuta ya habat soda dondoshea matone matatu, then ziba na pamba ,mi skio langu lilikuwa hivyo siku tano mfululizo, baada ya kutumia hiyo nko powa now
 
Ni mara tu baada ya kulisafisha kwa kuingiza maji wakat nachukua udhu liliingia maj likaniuma na sasa halisikii.Naombeni msaadan nilitibu vipi?

Pole sana Mkuu ila kwa first aid hebu jitahidi kuliinamisha huo upande wenye maji ili yatoke yote au kama hapo ulipo ni jirani na Kituo chochote kile cha Afya tafadhali hebu kimbia wakakutibu haraka Mkuu kwani bado tunakuhitaji humu Jamvini kama mwenzetu uliyetukuka. Pole, usiogope na utapona tu Mwenyezi Mungu akupiganie Mkuu.
 
Kuna dawa inaitwa Hydrogen Peroxide huwa inatumika kusafisha sikio
 
linafanya chwii kana kwamba mfano mtu ambaye amemaliza dozi ya malaria umetumia kuna dawa fulani wanaitwa amodiaquen
 
Ni mara tu baada ya kulisafisha kwa kuingiza maji wakat nachukua udhu liliingia maj likaniuma na sasa halisikii.Naombeni msaadan nilitibu vipi?
nenda hospitali kwa bingwa wa masikio pua na koo.USITIE CHOCHOTE HUNA HAKIKA KAMA UMELIJURUHI KWA NDANI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom