Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,594
Baada ya mechi ya Juventus vs Barcelona katika dimba la Camp Nou kuisha ,kocha wa Juve alihojiwa na waandishi wa habari akasema alipoingia Andrea Barzagli alijua mechi ndio ishaisha hapo maana hata zingeongezwa dakika 300 barca wasingeweza kupata goal lolote..Akaendelea kusema hata kama kungekuwa na kina Messi 6 uwanjani bado game ingeisha 0-0
Hii game naitabiri 0-2
Hii game naitabiri 0-2