Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 630
Kuna ubishi ambao umekuwa ukiendelea kuhusu jiji lipi linaongoza kwa ukubwa na wingi wa watu baada ya jiji la Dar. Wengi wamekuwa wanapambanisha Mwanza na Arusha wengine wameenda mbali zaidi wakisema Mwanza inaikaribia Dar kwa wingi wa watu.
Kwanza niwape ukweli jiji la Mwanza lina watu wengi sana kuliko Arusha almost ni mara mbili yake. Mwanza ina watu zaidi ya laki saba wakati Arusha ina watu zaidi ya laki nne.
Pili Mwanza haifiki hata robo ya Dar hata mkoa mzima wa Mwanza ukiacha jiji haufiki hata nusu ya Dar. Dar ina watu karibu milioni tano wakati Mwanza ina watu laki saba
Hata ukililinganisha jiji la Mwanza na manispaa za Dar linafunikwa mfano manispaa za Ubungo na Kinondoni pekee kiujumla zina watu karibu milioni mbili yaani karibia mara 3 ya Mwanza.
Idadi ya watu manispaa ya Ilala ni milioni 1.2 wakati Temeke na kigamboni ni karibu watu milioni 1.4 zote zinaifunika Mwanza.
Majiji ya Mbeya na Tanga hayo siyo ya kutaja kabisa kwani Mbeya ina watu zaidi ya laki tatu wakati Tanga ina watu laki mbili yaani ukichukua kata za Charambe, Vingunguti na Mabibo unapata watu wengi kuliko jiji zima la Tanga.
NOTE: Hizo data zote ni kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012 ni miaka 5 hadi sasa lazima kuna ongezeko la watu kila mji.