Al gator
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,029
- 566
Alafu hii tabia ya kufananisha vitu visivyo endana sijui nani kawafundisha watz!?
Mara wamfananishe Trump na mpiga push ups wa Chato, Mara waifananishe Moshi na vitu vya kijinga!!
Alafu hii tabia ya kufananisha vitu visivyo endana sijui nani kawafundisha watz!?
Tumehamisha magari yote hapo dar mwezi huu wa 12 unahisi na majengo hatuwezi kuhamisha !!!Mnajipamba nisha
Haya Wamoshi leteni picha?
Wanajidai au ni kweli tena wanasomea kwenye vyuo vyenu na kuwabwaga.unafikiri vinawasaidia basi.shida mna opportunity nyingi na hamzitumii vyuo vyote hivyo vingekuwa bk sijui pangefananaje.shida ubaguzi Wa wahaya na wivu ndio maana inakuwa hivyoMNAJIDAI MMESOMA KUMBE HAKUNA LOLOTE
BUKOBA HAKUNA CHUO KIKUU HATA KIMOJA ZAIDI YA MATAWI YA VYUO
Yeye ni babu sema.ya wajukuu ambao.hana uhusiano naoNioneshe jengo la Mengi hapo moshi
JE BUKOBA NA MOSHI IPI INACHANGIA ZAIDI PATO? INGIA WEB YA TRA ALAFU URUDI HAPAElewa kwanza mada, hapa ni bk na moshi sio kagera vs kilimanjaro
Kijiji eti bukoba ni kubwa kuliko moshi kieneo.INA watu wengi na nyumba nyingi kuliko moshi endeleeni kudanganywa na serikaliacha kufananisha mji na kijiji wewe. Moshi ni mji mkubwa zaidi na hapo ndo kiburi cha nshomile kilipoishia.hamna ujanja kwa hilo.
Ubishi wako umenikumbusha mbali sana nilikuw na rafiki yangu mhaya tulisoma wote tukawa tunabishana wahaya wana akili wanachanga wana akili nikamwambia tuombe mungu tukifikisha miaka 34 au zaidi tujipime nimemuita juzi nimemkopesha 50m bila riba atarudisha baada ya miaka 15 asilimia 30 ya 50 iliyobaki ni yake !!!Picha mzee porojo za nini
Shida wachaga wana dharau ya hali ya juu.na wahaya wanapenda sifa kadiri ya threadUbishi wako umenikumbusha mbali sana nilikuw na rafiki yangu mhaya tulisoma wote tukawa tunabishana wahaya wana akili wanachanga wana akili nikamwambia tuombe mungu tukifikisha miaka 34 au zaidi tujipime nimemuita juzi nimemkopesha 50m bila riba atarudisha baada ya miaka 15 asilimia 30 ya 50 iliyobaki ni yake !!!
Haipo hivyo mkuu vijana wakichaga kama wakiweza kujiondoa kwenye biashara za kupenda wale dada powa ninakuapia 100% moshi itakuwa nzuri mara 5 Nairobi baada ya miaka 30 maana maandalizi yapo ninayajuwaShida wachaga wana dharau ya hali ya juu.na wahaya wanapenda sifa kadiri ya thread
fundi25 maliza 2016 kwa adabu...Tumehamisha magari yote hapo dar mwezi huu wa 12 unahisi na majengo hatuwezi kuhamisha !!!
Ata cash tunaweza kuhamisha tukatumia pesa za kenya apo moshi!!!
Msilete masihara
mmekosa hoja mmeanza vijembe..Kweli wewe Mhaya eti inapakana na Kenya na Burundi...Viwanda kama Balimi etc aaah Bukoba bado saana kwanza watu wa huko bado wanasumbuliwa na funza aka jiggers
Dar ondoa ktk list yako ya mfanano!Bukoba na moshi ni miji tofauti sana. Fananisha Bukoba, musoma, kigoma, sumbawanga, songea, shinyanga, singida. Fananisha Moshi, Morogoro, dodoma, Iringa. Then Njombe, Babati, Geita, Mpanda, lindi. Halafu Dar, Mwanza, mbeya, arusha, Tanga. Kwa mlinganyo huu Sawa. Moshi ni manispaa inayoelekea kuwa jiji wakati Bukoba ni manispaa ambayo bado ina harufu ya halmashauri ya mji.