Kama demand ushaona Morogoro ipo wewe omba kazi kule wakuajiri then hapo ulipo watandike resignation letter.Mimi nafahamu watu wengi wameresign chuo kimoja kwenda kufundisha kingine.
Usiumizwe Kichwa na green card wala brown card,Mimi ninayo hiyo Green card ila sijaona inanisaidia nini..kila nikienda hospital au pharmacy ninazoziamini naambiwa wamesitisha huduma ya NHIF kisa hawalipwi...sijui hii pesa tunayolipwa inafanya kazi gani...Nawachukia sana,nikimuona mkurugenzi wao...
Nafikiri ni uamuzi wa Busara kama tu wameridhika na hayo waliyokubaliana na Baba Ridhi na wanauhakika yatafanyika.My fear isijetokea in the future tena wakadai kwamba waliyoahidiwa hawajatimiziwa wakataka kugoma tena.It is the same way walikubaliana na Mtoto wa Mkulima baadae hawajatimiziwa...
taarifa:kwanza poleni na samahanini kwa hali ya sintofahamu iliyotokea leo kutokana na taarifa za ghafla za usuluhishi kati yetu na ruge/clouds fm,ni kutokana na unyeti wa issue yenyewe ilibidi tufanye hivyo kwa nia njema kabisa...kwanza naomba tujipongeze kwa kuwa tukio la leo ni ushindi kwa...
Nikikumbuka sera za ujamaa za Mwalimu Nyerere na jinsi zilivyotupiliwa mbali leo machozi yananitoka...Imagine,unanunua kitoto chambwa 300,000 huku kuna Mtanzania anakufa kijijini kwa vile tu hana 5000 ya kwenda hospitali,watoto wamefukuzwa shule kisa hawana 20000 ya ada na huo ndo mwisho wa...
Ndugu zangu emu nisaidieni hili,ni miaka mingi sana nimesikia kuna uhakiki wa mali za viongozi nchini ila sijawahi sikia hatua zimechukuliwa dhidi kiongozi ya kiongozi.Najua hili zoezi linatucost pesa bila shaka nyingi na mwisho wa siku halitunuifaishi kwa lolote bila shaka kwa sababu ya mfumo...
Hili swala mimi naliona la kipuuzi na la kisiasa.Katika hali halisi hakuna mtu anaenda ofisi za bank anapewa tu account bila kujaza particulars zake,hizo information wanazozihitaji leo ni zipi?Inakuaje kitu kama hicho watu wanakubaliana kifanyike ndani ya mwezi mmoja tu?I know kuna watu wapo nje...
Hadhi ya kiingereza chake yawezekana haituhusu lakini swala la kutumia kiingereza katika sehemu kubwa ya mahojiano yanayopaswa kuwa ya kiswahili mimi nachukulia kama ulimbukeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.