Taarifa ya SUGU kuhusu usuluhishi wake na Ruge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya SUGU kuhusu usuluhishi wake na Ruge

Discussion in 'Celebrities Forum' started by papag, Feb 22, 2012.

 1. papag

  papag JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 688
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  taarifa:kwanza poleni na samahanini kwa hali ya sintofahamu iliyotokea leo kutokana na taarifa za ghafla za usuluhishi kati yetu na ruge/clouds fm,ni kutokana na unyeti wa issue yenyewe ilibidi tufanye hivyo kwa nia njema kabisa...kwanza naomba tujipongeze kwa kuwa tukio la leo ni ushindi kwa vinega kwa maana kwamba madai yetu yote ya msingi ndio yalikuwa msingi wa majadiliano na ruge amekubali kuyatekeleza yote...kuanzia suala la studio ya rais kurudishwa kwa basata ili iwe ya wasanii wote,pia t.f.u ijikabidhi kwa chama halali cha wasanii yaani t.u.m.a kama ambavyo tulikuwa tunadai na mpaka issue za wasanii kunyanyaswa na kubaniwa na pia suala la malipo hafifu vyote vimejadiliwa na kukubaliwa kwa utekelezaji...haikuwa kazi rahisi,kwanza ilianza kwa wao kumpigia mwenyekiti wangu mbowe kutaka tukae chini,ambapo kamanda mbowe alinishauri tukae nao chini kama kweli wana nia ya kuyamaliza...baadaye wakampigia mr shigongo ambaye ni wazi kuwa ni kati ya watu wangu wa karibu naye baada ya kuongea na mr. Kusaga tu alinipigia na kunishauri hivyo hivyo...na kama haikutosha wakalifikisha hili suala kwenye kamati ya bunge ambayo ilinitaka niipe maelezo ya kiini cha mgogoro na nikafanya hivyo ambapo pia baada ya kunielewa wakashauri nikae nao chini...na hatimaye suala hili likaishia mikononi mwa waziri nchimbi pamoja na mhe. Tundu lissu(mp) kuwa wapatanishi wetu...waziri nchimbi akaanza kwa kumuita ruge dodoma na alikuja tukakaa kwa hatua ya kwanza na hatimaye leo tukakaa tena makao makuu ya wizara ya utamaduni chini ya dr nchimbi na mhe tundu lissu na hatimaye tukafikia hatua hii ya leo...vita yetu ilikuwa na hoja hatukuwa tunapigana tu kwa chuki binafsi kama baadhi ya watu walivyokuwa wanajaribu kuiweka,kwahiyo kama hoja zetu zimeeleweka kwa sasa tunatakiwa kushukuru na kufurahia...lakini naomba niwahakikishie misimamo iko pale pale na nimewaweka wazi kuwa anti-virus itaendelea kuwepo ili kuendelea ku-scan virus wengine kama mameneja masoko na wengine watakaojitokeza kwani nchi inaposhinda vita au hata kufikia tu makubaliano ya amani na nchi adui yake haina maana nchi hiyo inavunja jeshi lake... Asanteni sana...
   
 2. Kayla

  Kayla JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wee nawe unatuumiza macho yetu,soma mwenyewe hiyo thread yako!
   
 3. k

  kakapeter Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  taarifa:kwanza poleni na samahanini kwa hali ya sintofahamu iliyotokea leo kutokana na taarifa za ghafla za usuluhishi kati yetu na ruge/clouds fm,ni kutokana na unyeti wa issue yenyewe ilibidi tufanye hivyo kwa nia njema kabisa...kwanza naomba tujipongeze kwa kuwa tukio la leo ni ushindi kwa vinega kwa maana kwamba ma​
  dai yetu yote ya msingi ndio yalikuwa msingi wa majadiliano na ruge amekubali kuyatekeleza yote...kuanzia suala la studio ya rais kurudishwa kwa basata ili iwe ya wasanii wote,pia t.f.u ijikabidhi kwa chama halali cha wasanii yaani t.u.m.a kama ambavyo tulikuwa tunadai na mpaka issue za wasanii kunyanyaswa na kubaniwa na pia suala la malipo hafifu vyote vimejadiliwa na kukubaliwa kwa utekelezaji...haikuwa kazi rahisi,kwanza ilianza kwa wao kumpigia mwenyekiti wangu mbowe kutaka tukae chini,ambapo kamanda mbowe alinishauri tukae nao chini kama kweli wana nia ya kuyamaliza...baadaye wakampigia mr shigongo ambaye ni wazi kuwa ni kati ya watu wangu wa karibu naye baada ya kuongea na mr. Kusaga tu alinipigia na kunishauri hivyo hivyo...na kama haikutosha wakalifikisha hili suala kwenye kamati ya bunge ambayo ilinitaka niipe maelezo ya kiini cha mgogoro na nikafanya hivyo ambapo pia baada ya kunielewa wakashauri nikae nao chini...na hatimaye suala hili likaishia mikononi mwa waziri nchimbi pamoja na mhe. Tundu lissu(mp) kuwa wapatanishi wetu...waziri nchimbi akaanza kwa kumuita ruge dodoma na alikuja tukakaa kwa hatua ya kwanza na hatimaye leo tukakaa tena makao makuu ya wizara ya utamaduni chini ya dr nchimbi na mhe tundu lissu na hatimaye tukafikia hatua hii ya leo...vita yetu ilikuwa na hoja hatukuwa tunapigana tu kwa chuki binafsi kama baadhi ya watu walivyokuwa wanajaribu kuiweka,kwahiyo kama hoja zetu zimeeleweka kwa sasa tunatakiwa kushukuru na kufurahia...lakini naomba niwahakikishie misimamo iko pale pale na nimewaweka wazi kuwa anti-virus itaendelea kuwepo ili kuendelea ku-scan virus wengine kama mameneja masoko na wengine watakaojitokeza kwani nchi inaposhinda vita au hata kufikia tu makubaliano ya amani na nchi adui yake haina maana nchi hiyo inavunja jeshi lake... Asanteni sana...​
   
 4. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  mbona mnatuchanganya!?Sugu,unajua msimamo wa VINEGA wenzako kama Peen Lawyer?
   
 5. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ushindi wa vinega ushnd wako mblny umepotea njia
   
Loading...