Kileleni ndo wapi huko jamani wengine hatujui ahh
Zipo tetesi mitaani eti idadi kubwa ya wanawake hawafiki kileleni katika tendo la ndoa. Chanzo au sababu ya hili ni nini hasa? Je ipo njia ya mwanaume kujua mwanamke ame organsm kweli na siyo show tu?
Organism au orgasm?
Organism au orgasm?
Jamani jamiiforums haikosi vijambo... sasa huyu organsm kaitoa wapi.
Zipo tetesi mitaani eti idadi kubwa ya wanawake hawafiki kileleni katika tendo la ndoa. Chanzo au sababu ya hili ni nini hasa? Je ipo njia ya mwanaume kujua mwanamke ame organsm kweli na siyo show tu?
Orgasm ipi unamaanisha,maana there are 5 types of female orgasms ntazitaja bila kufafanua angalau kwa sasa:
1:The clitoral orgasm
2:G Spot Orgasm
3:Simulteneous Orgasm
4:Multiple Orgasm
5:The squirting orgasm
Sasa unazungumzia ipi labda?
km mwanaume haiwez shughuli unategemea nn?tena wanaume wengi siku hv ndo hawana nguvu kabisaaa,wanachojua ni kuchomeka na kuingiza.ndo maana wanawake tukiwapata marijali wa ukweli tunawang'angania hata km wanandoa zao,maana tukizubaa unaweza kufa huijui raha.