Pappies pure gs wanauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pappies pure gs wanauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kabachubya, Feb 13, 2012.

 1. K

  Kabachubya Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mambo vipi wadau? Mbwa wanauzwa pure Germany Shepherd tarehe 18, feb,2012 wanatimiza miezi miwili. Wamebaki watatu. Bei ni Tshs 300,000/= kwa mmoja. Kwa mawasiliano: 0717 123 464 0762 101 178
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Wa jinsia gani?
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Wameshapata jabs?
   
 4. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu naitaji sana hiyo aina ya dog, hebu weka picha ili tuwaone kabla ya kuagiza.
   
 5. K

  Kabachubya Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ni dume kwa sasa amebaki mmoja,
  kuna wengine wamezaliwa jana trh 13, February, 2012 hao wanaweza kupatikana majike pia. Kesho jioni nitajitahidi niweke picha.
   
 6. K

  Kabachubya Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mambo vipi wana JF? Popiexo angalia hizo picha za pappies.
  Thanks.
   

  Attached Files:

 7. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Duh, Kumbe Mbwa ni bei hivyo!
   
 8. k

  kakapeter Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nikikumbuka sera za ujamaa za Mwalimu Nyerere na jinsi zilivyotupiliwa mbali leo machozi yananitoka...Imagine,unanunua kitoto chambwa 300,000 huku kuna Mtanzania anakufa kijijini kwa vile tu hana 5000 ya kwenda hospitali,watoto wamefukuzwa shule kisa hawana 20000 ya ada na huo ndo mwisho wa Elimu yao,Watoto wanakufa kisa utapiamlo,hata fungu la dagaa la 200 hawawezi kulipata..Ee Mola tupe usawa.Bado hyo specie ya mbwa ukiinunua utumie walau 10,000 daily kukihudumia wakati mtanzania average anatumia 1500 kwa siku ikimaanisha kuna amabaye hata hiyo 100 hana kwa siku....Najua kila mtu anapata kwa jasho lake na ana haki ya kutumia atakavyo ila kama tungeamua wote wenye uwezo wasaidie wasio na uwezo basi wote tungeishi maisha bomba,This world could be a best place to be.Anyway,hku kijijini kwetu vitoto vya mbwa tunatoa bure,kama una nauli ya kufika njoo uchukue,hata hauhitaji kuwaandalia menu.Hawa wanatwanga masalia ya misosi yetu ukizubaa hata vinyesi wanakula...:)
   
 9. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Tatizo mbwa koko ndio unaowazungumzia ww,hao germany shepard ni kama wale mbwa wa polisi wanafundishika ukiwafundisha
   
 10. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, hata mimi sijaona umuhimu wakununua mbwa kilo3, lakini sina uzoefu wa maswala hayo ndio maana nimeshangaa. Yaani Mbwa Bei ni sawa na N'GOMBE.
   
 11. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ilaumu CCM kwa kutengeneza mazingira hayo, sisi wananchi tu wajinga tunashuhudia wanatufanya masikini hata hatushituki! Wacha tukione cha moto!
   
 12. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Jamani hao ni GS sio general study bt bro kwa bei hiyo umeenda mbali sana mzeya
   
 13. K

  Kabachubya Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nawasikitikia sawa watanzania km kakapeter,na ndio haohao ukiwauliza watakwambia chama chao ni CCM,wana maisha magumu, hawajui la kesho na ndio haohao wanakuja wakati wa uchaguzi wanadanganyika na kilo moja ya mchele na T-shit,kazi mnakalia majungu na kulalamika tu. Kila mtu atakula kwa jasho lake na hakuna wa kuwasaidia hayo ndio mliyochagua Maisha bora kwa kila Mtanzania. Mimi na washkaji tunaojua maana au thamani ya vitu na hela huwezi kukuta tunakipigia debe CCM. Kwa taarifa yako Hawa mbwa wanauzwa US dollar 400 hadi 500 na wanakula vizuri. Ndio maana baadhi yenu mngependa mkazaliwe mbwa Ulaya na Marekani. Pole sana kakapeter wasaidie ndugu zako wapate uelewa waishi maisha bora na sio kusubiria vishuke.
   
 14. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa CCM inahusika nini na uuzaji wa mbwa?Msituletee siasa kwenye biashara.Kama huna laki 3 si ukae kimya ama ubembeleze bei ishuke.Hivi wabongo tutaacha lini kulalamika?Ptuuuu!
   
Loading...