Mgomo wa madaktari kwishne,Dr. Nkya asimamishwa uanachama kwa miaka 2i!

sir echa

Member
May 28, 2010
85
3
Viongozi wa chama cha madaktari watangaza rasmi kusitisha mgomo uliokuwa ukiendelea baada ya kuzungumza na Raisi Dr. Jakaya Kikwete,...pamoja na hayo wamemsimamisha uanachama Dr. Nkya kwa muda wa miaka miwili.

Source: Breaking News, Radio Clouds at 15:12hrs
 
Search, search.....error........No network coverage,..........
 
Wanapunguza idadi ya wanachama, kwa hiyo wanapunguza mapato ya ada ya uanachama, wakati huo huo wanampunguzia mzigo Nkya wa kutoa ada ya uanachama. Sijui atapungukiwa nini zaidi ya kugain !!
 
Nafikiri ni uamuzi wa Busara kama tu wameridhika na hayo waliyokubaliana na Baba Ridhi na wanauhakika yatafanyika.My fear isijetokea in the future tena wakadai kwamba waliyoahidiwa hawajatimiziwa wakataka kugoma tena.It is the same way walikubaliana na Mtoto wa Mkulima baadae hawajatimiziwa wakalianzisha.I do believe wanasiasa wote ni watoto wa baba mmoja.So Drs dont shout in the future,tunaamini mlichotaka mmepewa hata kama kwa kauli na mmeridhika.
 
Baada ya kumsimamisha Dk Nkya, probably watamsimamisha na Dk Jakaya
 
Viongozi wa chama cha madaktari watangaza rasmi kusitisha mgomo uliokuwa ukiendelea baada ya kuzungumza na Raisi Dr. Jakaya Kikwete,...pamoja na hayo wamemsimamisha uanachama Dr. Nkya kwa muda wa miaka miwili.

Source: Breaking News, Radio Clouds at 15:12hrs
MAT ni voluntary profesional association ambayo iko kama tuu NGO fulani, hivyo kumsimamisha uanachama Dr. Nkya, hakuna madhara yoyote kwake, kama angesimamishwa uanachama na Medical Council of Tanzania, that would be something else, kwa sababu, msajili angeweza kumfutia leseni yake ya udaktari hivyo hangeweza ku practice mahali popote duniani!.
 
Cha muhimu huduma zirudi wakuu, hali mbaya! Though naamini kama wameongea na president, hawezi kutuangusha katika hili pamoja mleta mada hajasema wamekubaliana nini.
 
Cha muhimu huduma zirudi wakuu, hali mbaya! Though naamini kama wameongea na president, hawezi kutuangusha katika hili pamoja mleta mada hajasema wamekubaliana nini.
Please doctors, the professionals, we need your service, tunajua nanyi mpo kwenye hali ngumu ya maisha na mazingira magumu ya kazi, but kwa sasa tumejua nani mwenye matatizo, tuhudumieni kwani wengi wetu tumepata messege ya hali ilivyo.
Tunawaomba ndugu zetu.
 
Back
Top Bottom