Kwetu Pazuri bana

kakapeter

Member
Oct 30, 2009
36
10
393869_2972326715884_1493263980_2987451_292019578_n.jpg
​
 
Nilifikiri unaamanisha wimbo huu hapa chini:

Last edited by a moderator:

Kama sio Mbezi basi kimara huwa hawana tofauti na mbagala....

Hapa nadhani turudishe ule utamaduniwa zamani w kupanda uda na kamata enzi hizo, unafika kituoni unapanga foleni kama unapiga kura vile wa kwanza kufika ndio anakuwa wakwanza kuingia kwenye gari
 
Hapa mkuu lazima pata kuwa Mwenge kituo cha kwenda Mbagala,maana kuna siku ilikuja gari na kituoni wako abiria watano cha kushangaza wanne kati yao wakakimbilia kurukia dirishani.
 
Opportunist J Makamba apeleke hoja binafsi bungeni ya kupanga foleni kwenye daladala/vifodi
 
hii ni balaa yani huyu dada hana hata hayaaa...! duh kweli msafiriiiii kafiriiiiii
 
Huyo Mdada ukimwona barabarani anavyo ringa,huwezi amini.Ana asifa zate za kuwa mwizi.
 
Mimi kila nionapo picha hiyo huwa najiuliza huyo konda anawaza nini kwani kama vile anasubiri kuangalia kitu fulani hivi ambacho ana uhakika kitatokea ili akiona
 
Sasa hapo huyo dada atiwa dole atalaumu nani, the thingi is tunapenda short cut sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom