Chelsea FC Sacks AVB

Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,403
1,132
Kwa wale wapenzi wa Chelsea habari za uhakika ni kwamba leo hii AVB amehachishwa kazi mara moja na Msaidizi wake Di Mateo atakuwa kocha wa timu mpaka mwisho wa msimu.

Mlisema tumfukuze Mzee Wenger sasa yamewakuta
 
Yah nimeona kwenye goal.com, mikoba kaachiwa di mateo, na benitez anapewa nafasi kubwa kutua darajani msimu utakapoisha
 
Wamemuonea tu tatizo ni Wazee waliojaa Chelsea muda wao umeisha. Drogba, Lampard, Cole, n.k Eti wao wanamtaka Jose! Hata akirudi labda abadilishe timu. Wananunua mtu kwa £50m amefunga sijuhi magoli matatu!
 
Kocha ni muhimu apewe muda wa kutosha kukaa na Timu ili aweze kuitengeneza atakavyo, hii tabia ya kubadili kocha kila Timu inaposhindwa ni kuhangaika tu!
 
mtahangaika sana wala tatizo c kocha timu imejaa wazee sana!hivyo wanachofanya ni kumhujumu kocha aonekane hafai.timueni na wazee wote,mjenge timu mpya.
 
I think Roman has changed his vision from winning every trophy to hiring every manager.

i think RA he is right 100%to suck AVB, his performance since jan last year is only 45%! tell me, from investment point of view, who can torelate such kind of shit?if u could be a project manager, granted everything u need to perfom and at the end of the day its just a damn shit, tell me do u think u deserve to be called a pmanager?there are a number of blunders committed by this young man, i am chelsea fun, it pains a lot to have such kind of mult most talented player but u deleiver almost zero?what a shit!
 
mtahangaika sana wala tatizo c kocha timu imejaa wazee sana!hivyo wanachofanya ni kumhujumu kocha aonekane hafai.timueni na wazee wote,mjenge timu mpya.

sina uhakika kama unaongea toka moyoni na una uhakika na unachokisema!who is the most powerful striker in epl? where is age factor then?tell me, ryan Gigs at 38, paul schole at 37!still u can not easily notice the difference!look at andre pirlol,look at fridel displaying a fanstatic play at 41yrs of age, tell about jOHNSON?age aint nothing for sure!chelsea is facing a very serious problem ever an thank God to be at 5 psnt!
 
Yah nimeona kwenye goal.com, mikoba kaachiwa di mateo, na benitez anapewa nafasi kubwa kutua darajani msimu utakapoisha

naye Banitez atafukuzwa tu...unatakiwa kuwa na kichwa cha mwendawazimu kukubali kufundisha chelsea...
 
Back
Top Bottom