Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,321
- 144,743
Na Kiingereza anakijua kweli ama ndo hicho hicho cha kuunga unga tu hapa na pale?
Last edited by a moderator:
Ni nini? Sioni kitu
Polisi (Trafic) wanavyo vipimo vya ku'ditect madereva walevi ! Hapa je ?
Mods hawaoni umefika wakati muafak'ka pakawekwa "Drunkers monitor system"
We Fly bana. . .anajua Kiirengeza kama mimi.
Kama anajua kama wewe basi anajua!
Kweli Mkuu, kidhungu kinatutia kidhungudhungu.duuuhhhh Lugha ngumu jamani..
Polisi (Trafic) wanavyo vipimo vya ku'ditect madereva walevi ! Hapa je ?
Mods hawaoni umefika wakati muafak'ka pakawekwa "Drunkers monitor system"