Wana JF, naombeni mnipe tafsili ya ni nn kinachowafanya baadhi ya watu wavipe utukufu vitu hivi:
1-Mapinduzi "matukufu"!
2-Bunge "tukufu"!
Hivi ni viashiria vipi ambavyo vinatoa utukufu kwa hivi vitu? maana isije kua tunabeba laana kwa kukubaliana na semi hizi.
Ni kama kulikua na bia XYZ...
Ila hili pendekezo mbona hata bungeni lilitolewa na Spika....mlipiga kelele? Huenda watu ndio wanafanyia kazi ushauri kifupi siki hiz kupata kazi ni kazi. Walianza na vigezo vya kupita JKT...watu wakawa wanapigwa chini...sa hii imeletwa gia mpya! KUJITOLEA. Tutanyoooka tu😅😅😅
Kwa mujibu wa ripoti ya Tasisi ya Utafiti na Kupunguza umaskini Tanzania(REPOA) ya 2019, wasomi milioni moja huzalishwa kwa mwaka alhali idadi ya ajira zinazozalishwa serikalini na katika sekta binafsi ni 250000.
Nayo taarifa ya muenendo wa ajira toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha hali ya...
Maisha ya uchakarikaji na utafutaji kuleta mkate wa kila siku katika familia ni hitaji lisilo na ukomo katika maisha ya mwanadamu.
Hali hii imesababisha mgawanyo wa majukumu katika malezi na usimamizi katika familia nyingi mijini na vijijini. Kufuatia hali hii hitaji la mtu aitwae msaidizi wa...
Katika zama hizi za vijana tujiajiri! Dhana korofi na swali tatanishi limekua ni kwa jinsi gani serekali inaweza kukabiliana na suala tambuka la ukosefu wa ajira. Kwa kurahisisha wengi huishia kusema, " ardhi ni kubwa vijana kwa nini msijiajiri..." wengi (wasomi na vijana wasio na ajira) huhisi...
Nzengo ni nini?
Kwa mujibu wa kamusi ya mtaani! Nzengo ni jumuishi ya eneo /mtaa aghalabu ukihusisha kaya taklibani 50, lenye mpaka wa kiutawala ukiwa na wakazi wa kudumu na wakuhama hama( wapangaji) na wakiwa na katiba, uongozi na tamaduni/ sheria ndogondogo zina zoongoza shughuli za kila siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.