Recent content by Jaramba

  1. Jaramba

    Naomba msaada kilowatts 2.5 ni sawa na kva ngapi?

    Ki uhandisi zaidi iko namna hii, KVA = Kilo Voltage Ampere KW = Kilo Watt Watt= Voltage (V) * Ampere (A) i.e W= VA Kwa ufupi KVA ni sawa na KW ni namna ya rating tu ila kitu kile kile. Kama matumizi yako ni 2.5 KW ni vizuri ukanunua generator yenye ukubwa zaidi ya 2.5 KVA kwa sababu ya...
  2. Jaramba

    Show za Magari Dar

    Nakushauri usijisumbue kununua gari kwenye Show Room za Bongo (DSM). Nilishauriwa kama ninavyokushauri ila sikusikia,kilichonipata sitokuja kusahau. Miaka kadhaa iliyopita nilinunua gari kwenye show room ya "MAZRUI" pale nyuma ya Break Point - Kijitonyama,nilifanya malipo yote kama...
  3. Jaramba

    GE2010 JF Exclusive: Election 2010 Results (General)

    Kazi nzuri,asante kwa kutuhabarisha..
  4. Jaramba

    Wakenya na hisa za crdb

    Katika pita pita zangu kwenye mtandao nikakutana na forum hii http://www.stockskenya.com/newsite/stkForumTopic.aspx?stk=0&top=14228 ambapo wenzetu wa Kenya wanafukuzia kununua hisa za CRDB but kilichoniumiza ni jinsi wanavyoilinganisha CDRB na Ukulima Saccos ya Kenya. Je kuna haja ya kuwa na...
  5. Jaramba

    Shujaa Tundu Lissu apata ajali, ni mzima

    Pole sana mwanasheria Lissu
  6. Jaramba

    Ni 'Kitchen Party' au 'Bedroom Party'?

    Inasemekana kuwa wengi wa hao makungwi wa hizo sherehe,hawako kwenye ndoa,hawajawahi kuolewa au wameachika,sasa najiuliza kama wao ni walimu wazuri kwa nini walishindwa kwenye ndoa zao?
  7. Jaramba

    GTV: Ndio tumekula hasara au?

    Mkuu pole sana,umechemsha vibaya sana,fanya utafiti kabla ya kupost!!!!!!!!
  8. Jaramba

    MWANAHALISI katika mtandao

    Hongereni sana Mwanahalisi,tafadhali mjitahidi ku-update ukurasa wenu pale itakapobidi.
  9. Jaramba

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Mkuu barabara inaweza kuwa ni tatizo,lakini tatizo kubwa ni uzembe wa watumiaji wa barabara na ubovu wa magari ni tatizo kubwa sana,hii ya Arusha inasemekana breki za lori zilifeli,ya Tashrif tulisikia basi lilitoka Dar likiwa bovu,tusipobadilika tutakwisha kwa hizi ajali.
  10. Jaramba

    Standard Chatered Mikocheni Kulikoni

    Hoyce na Lucy ndio matechnician wao au?
  11. Jaramba

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Dah hizi ajali zitatumaliza jamani,mwezi mmoja tu na haujaisha bado, watu zaidi ya sabini wamepoteza maisha kutokana na ajali hizi. Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi
  12. Jaramba

    Israel launches deadly Gaza attacks

    Huu mjadala unanichanga sana,najiweka kwenye nafasi ya Mpalestina,na pia najiweka kwenye nafasi ya Muisraeli!!Mimi sio padre na wala sio shehe ila najiuliza karne zote zilizopita kutokana na historia toka kwenye maandiko matakatifu yanavyosema ni nani amemkuta mwenzake kwenye ardhi ile? Hivi...
  13. Jaramba

    Mjikumbushe Mzumbe High School

    Naona Tunatoka nje ya mada kisa............
  14. Jaramba

    Ewura kutumia milioni 500 kuwapeleka Mawaziri na wasaidizi wao nje!

    Mjenga nchi ni mwanachi na mvunja nchi ni mwananchi.
  15. Jaramba

    Mjikumbushe Mzumbe High School

    Mliopita pale miaka ya tisini mwishoni mnamkumbuka mama Karen Scheiffer Mtaalam wa Maths? Miss.Emma White Physics Mr.Luku Inorganic Chem huyu alikuwa mdau wa arsenal. Hivi kina Mwl.Msabila,Mutawajibu,Msuka na wengineo wako wapi. R.I.P Wibonele
Back
Top Bottom