Shujaa Tundu Lissu apata ajali, ni mzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shujaa Tundu Lissu apata ajali, ni mzima

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Halisi, Mar 18, 2009.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Yule shujaa na mpambanaji wa haki, Mwanasheria wa Mahakama Kuu, Tundu Lissu, amepata ajali akiwa njiani kuelekea Singida na Manyoni. kwa mujibu wa Saed Kubenea aliyezungumza na Lissu, gari yake Lissu limeharibika vibaya lakini yeye hakuumia, mbali ya maumivu madogo. Hata hivyo upo uwezekano wa kuwa amepata maumivu ya ndani. Tutaendelea kuwahabarisha na yeyote mwenye taarifa zaidi aziweke humu
   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Pole mwanaharakati Tundu Lisu. Mungu akujalie afya njema.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Pole Lissu, wishing you a quick recovery tunakuhitaji sana kwenye vita tulivyo navyo!
   
 4. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Pole sana Tundu Lissu, wishing you a speedy recovery uendelee kupambana na mafisadi!
   
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Pole Mkuu Tundu

  Natumai mambo yatakuwa poa na mapambano yataendelea kama kawa. Mungu hawezi kuwa mpuuzi kukuchukua wakati mechi haijafika hata dakika 45 za mwanzo. Tuko na wewe Mzee shujaa Lissu.
   
 6. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mungu ampe nafuu mapema.
   
 7. M

  Mfuatiliaji Senior Member

  #7
  Mar 18, 2009
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 152
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mumgu amponye mapema mpambanaji wetu aliye makini sana katika mambo ya sheria
   
 8. M

  Mwakaleli Member

  #8
  Mar 18, 2009
  Joined: Sep 23, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole Tundu Lissu, mungu akupe afya njema ili tuendeleze mapambano ya kuikoa nchi yetu katika dimbwi la uchafu wa kila aina. Amen
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Pole sana, Lissu -- Mungu anapenda uwe nasi katika mapambano haya magumu kwa wakati huu.
   
 10. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu Lissu, Get well soon! Unahitajika sana kny mpambano mkali tulionao sasa Tanzania!
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Pole sana Tundu Lisu unakubalika mno mno...endeleza libeneka Mungu atakupa nafuu haraka urudi kwenye mpambano...
   
 12. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2009
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole Lissu, Tuanashukuru Mungu kuwa u mzima na Mungu akubariki afya njema
   
 13. Jaramba

  Jaramba Member

  #13
  Mar 18, 2009
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana mwanasheria Lissu
   
 14. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2009
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Pole Comrade Tundu Lissu.

  Tunakuombea afya njema!
   
 15. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pole sana Lissu,Watanzania wengi masikini wanakuhitaji,Mungu aendelee kukulinda uwe salama na afya njema.
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Mar 18, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Tunaomba upone!
   
 17. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  I hope he is OK and I wish him a speedy recovery.
   
 18. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,544
  Likes Received: 18,184
  Trophy Points: 280
  Get Well Soon Antipascy!.
   
 19. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Pole mpiganaji Lissu, we pray for your soonest recovery. mapambano ndo kwanza yanaanza
   
 20. u

  urassa Member

  #20
  Mar 18, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole Kiongozi,we wish you fast recovery to come back and take the charge of the war started already.
   
Loading...