Wakenya na hisa za crdb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya na hisa za crdb

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaramba, Apr 23, 2009.

 1. Jaramba

  Jaramba Member

  #1
  Apr 23, 2009
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Duh....angalia hizi comments za mmoja wa wana forum kwenye hiyo link


   
 3. Kikojozi

  Kikojozi JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 331
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  East Africans hatuchoki kupondana? I expect better from Kenya, the self proclaimed "big brother".
   
 4. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mmh lets not just blame them, why shouldn't we take it as a challenge? Ni majuzi tu hiyo bank imeacha kucharge deposits done from other branches let alone hizo statement of accounts ambayo ni kweli (labda kama wameacha hivi karibuni). Pia hata wadau tz wanalalamika sana juu ya charges nyingi na za ajabu ajabu zinazotozwa na CRDB!

  Ndio maana sishangazwi na faida iliyotangazwa juzijuzi na MD wa benki ambayo kwa maoni yangu is not due to its competitiveness and customer oriented services.

  Ni mtizamo tu!!!
   
 5. M

  Mbwajira Member

  #5
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hakuna sababu hata moja ya maana juu ya sisi kuungana na kenya chini ya mwavuli wa africa mashariki. Hatuwahitaji kabisa
   
 6. m

  mnozya JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Tusiwalaumu wakenya kwa comments zao. Ukweli ni kwamba CRDB inahitaji ifanye kazi ya ziada kuboresha mfumo wake.

  January 2009 nilikuwa Tanzania nikiwa na jamaa yangu ambaye alikuwa anafuatilia benki statement yake ili awasilishe ubalozini kwa ajili ya viza ya kwenda UK, tawi lake ni Kijitonyama - Mileniam Tower aliisotea benki statement yake kwa wiki tatu.

  Ilimlazimu aende Azikiwe head office alikuwa na jamaa yake ndiyo akaipata saa moja kabla ya appointment yake ya ubalozini VINGINEVYO RATIBA YA SAFARI YAKE INGEVURUGIKA.

  MAMBO YA KWELI TUYAKUBALI KAMA CHANGAMOTO. Mtu akijikojolea kisha jirani yake akimwambia mwenzangu badilisha nguo umejikojolea haipaswi kwa aliyejikojolea kuanza kusema sijajikojolea wakati mikojo na harufu ya mikojo inaonekana vinginevyo waliokuzunguka watakushangaa na kujiuliza .............?
   
 7. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Wakenya wanaruhusiwa kununua hisa hapa Tz?
   
 8. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Nguvu ya Soko ndugu yangu!

  Wakenya watanunua tu: sasa kama Watz hatuna mitaji- tutafanyaje?

  CRDB ni benki nzuri, sema wanajisahau ktk huduma saa ingine!
   
 9. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Huo ni ukweli mtupu na ukweli unauma! Au kwa sababu kasema MKENYA?
  Mie ni mteja wa muda mrefu wa crdb na kero zao ni nyingi tu. Mfano nlikuwa nafuatilia visa kadi ilinichukua zaidi ya mwezi na sikufanikiwa kuipata zaidi ya nenda rudi zisizoisha!
  Ngoja tuone hila la hisa kama watakuwa wamejifunza na kubadilika!
   
 10. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #10
  Apr 24, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  kimei ni genious ....amefanya kazi kubwa crdb .....lakini sasa amefikia kikomo cha akili..kwa nia njema angetafutiwa role kubwa zaidi ...ie hata shirika kama la reli ..tusingeuza tungepata wazawa kama kimei wa rescue....

  Tazama kimei amelitoa crdb ..kutoka benki iliyokuwa motuary hadi kuwa benki ya pili kwa ukubwa tanzania..baada ya nmb ambayo ipo heavyily funded na serikali.....

  Its time sasa kimei apewe golden hand shake ....apelekwa kwenye kampuni nyingine aiokoe...unajuwa watu wenye akili ..kufanya kitu kimoja muda mrefu wanakuwa bored ....na huanza they tend to stop concentrating ....on doing same thing everyday...that is a principle of managerial behavior....job changes helps to releave that tendency!!!

  Watanzania we dont like to expose abled personalities to challanges they deserve and get full results out of them...

  Crdb needs a new young ceo,,,now!!!!!! Kwa watu wa age ya kimei akiletwa pale hatafikia hata robo ya perfomance ya kimei....we need a new ceo under 36 years of age ... And must be a finace genious .....pale bot ,crdb na nmb ....kuna vijana wengi tu wazuri wanaweza kuendeleza alipoishia kimei...

  Tuwapore trl wahindi tumpe kimei....na bandari tumpe .dau....muone hawa wazee vijana wanavyofanya kazi!!!!
   
 11. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  1. Nipo NBC na CRDB pia! Ila ukilinganisha huduma: bado naona CRDB ni bora zaidi!

  2. hivi Kimei huteuliwa na nani? na tenure ni mda gani? Kweli PM mtu akiwa mahali mda mrefu sana huwa anajisahau! Ingibidi say baada ya 10 years basi apwelekwe pengine hata ADB au EDB! Au afufue Benki ndogo ndogo za serikali!
   
 12. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Ndugu yangu na utandawazi wooooote huu angoje kupelekwa? Tena umesema ana akili.... akiwa bored ataondoka mwenyewe sehemu za kwenda kwa mwenye uwezo na upo ziko kibao!

  Ila usisahau pamoja na kuitoa huko alikoitoa, bado haijafika inakotakiwa kufika. Bado ana challenge za kuboresha huduma kama ulivyosikia wadu wakilalamika hapa. Hata mie naonaga foleni zao ndeeeeeeefu inanikumbusha enzi zileeeee, tukinunua sukari!!
   
 13. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kimsingi wakenya hawaruhusiwi kisheria kununua hisa za CRDB kwa sasa ninavyojua mimi.

  Watz hatuna mitaji? Kweli hiyo? Unakumbuka NMB ilivyokuwa over-subscribed wakati wa IPO yake? Au ile haikuwa mitaji ya watz mkuu?
   
 14. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  Maoni yako ni mazuri. Ila hilo neno "Watanzania" hapo juu, sio mahala pake.
  Sorry!
   
 15. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CRDB ni benki binafsi, hakuna mambo ya uteuzi hapo. Una-apply ukiwafaa unaukwaa (bodi inakupitisha), hakuna tenure wala nini - as long as you can deliver!
   
 16. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sio NMB tu ...IPO nyingi tu Tanga Cement, Swissport etc ....zimekuwa oversubscribed, bila kusahau issue ya DECI nilisikia watu waliweza kuzungusha zaidi ya TShs billioni 53 ......Hela ipo kwa wananchi hiyo hiyo kidogo kidogo.
   
 17. u

  urithiwetu Senior Member

  #17
  Apr 27, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunataka jibu hapa, kwani walibana wakati walipouza shares za Safaricom
   
 18. Iwindi_Mbalizi

  Iwindi_Mbalizi Member

  #18
  Apr 28, 2009
  Joined: Dec 1, 2008
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ukweli ni kuwa bado tuna kazi ya kufanya,Nilikuwa nyumbani February na nikafungua Account pale ii wanipe ile card yao na the promised to give me after less that 3 weeks,But from 12 February up to now they say not ready and I call even the branch(Lumumba) manager he is telling me many people have the same case as your just be calm and come to ask for it every day!My GOD ukweli ni bado tuna kazi ili ku kuendana na wenzetu!
   
 19. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  yes wanaruhusiwa , kupitia nairobi stock exchange, wao ndo wanawasiliana na broker huku tanzania wananunua kupitiz brokers
   
 20. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hawakubana labda watu hawakupata taarifa sahihi application zililetwa kilichotakiwa ni watu kwenda kwa broker then brokers anaenda kukununulia dse wanawasiliana moja kwa moja na nairobi stock exchange mpaka leo application zao zipo hapa zilidoda.
  Watz wengi hatujupenda kununua kwa sababu kama malengo yako ni ya muda mfupi wakati wa kuuza ni process ndefu halafu hela itakatwa nyingi mpaka ije ikufikie imeihsa

  nairobi stock exchange wanakata
  broker wako dar anakata
  dse wanakata
   
Loading...