Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
To me it doesnot make any difference, wote tu DsTv na GTV wanatukamua tena afadhali hata GTV maana nilkuwa natafakari kujiunga nao kwa kuwa gharama zao ni nafuu.
Nadhani ngekuwa bora kama Wafanyabiashara wetu wazawa wangeanzisha Makampuni ya aina hiyo, ingetuwezesha watzanania wengi kumudu gharama za kuona entertainment channels mbalimbali kwa bei nafuu. Laiti kama ITV, Channel, TEN au TBC1 wangenunua haki ya kurusha matangazo ya hizo entertainment channels na kuztuuzia kwa bei nafuu (naamini inawezekana mbona GTV waliuza kwa bei rahisi kuliko DsTv?) naamini Watanzania wengi tungeweza kufaidika