Recent content by Hondo

  1. H

    KAPINGA formally Sukita boss is no more

    Hapana kila mmoja ataenda kwa wakatiwake pia yeye alale kimya mbele ya mwenye haki miliki .
  2. H

    Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    Iam vey sick to discuss TANROAD .Hivi nani anapanga malipo ya Ma CEO wa makampuni ya nayohusu serikali ?Kwasababu inaonekana hawa jamaa wanalipwa zaidi kuliko wanavyozalisha halafu tofauti ni kubwa sana kwa wanaofuatia katika utendaji.Kwa mtaji huo mwanainchi wa kawaida ataendelea kukosa unafuu...
  3. H

    Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    Mimi bado nampongeza mchangiaji aliyegusa swala la kutenganisha elimu na uchapaji wa kazi.Watanzania bado tumedumaa na kutafuta vyeti vya elimu wakati hatuwezi kuzifanyia kazi.Watu tuna PHD ,Master na vingine vikubwa lakini hatuwezi kudeliver chohote tumebakia sifa za maonyesho.Marekani ma CEO...
  4. H

    Nauli isipopatikana, mjomba atakuja mwenyewe kijijini

    Uncle ni kiziwi anatakiwa kufungiwa safari.
  5. H

    Watanzania vs waganda & wakenya

    Huyu jamaa anayeitwa Kamala nimemuelewa kidogo pale aliposema watanzania wanatakiwa kujiamini hiyo nampa 100% ni kweli hilo ndilo tatizo kubwa la watanzania. Tumeshindwa kujiamini katika kila kitu kwasababu msingi mibovu tuliyo nayo .Pia wengi wetu tumendekeza ubishoo, ulimbwete na Usanii...
  6. H

    Kikwete to announce stimulus for economy

    Sasa huu mpango wa kupeana pesa kwenye makambuni ya mafisadi halafu wanaibatiza stimulus economies.Kwani wakichota hizo pesa wakawapa wakina mapapa na manyangumi nani atajua kwamba ni wizi ?Kila mmoja atasema ni stimulus kwa hiyo mimi ninawasiwasi na hilo zoezi zima litakalofanywa.
  7. H

    Colin Powell anaonekana kuwe mtu mwenye busara sana katika nyakati zetu

    viongozi wazuri wenye uzalendo na inchi yao na wakweli kabisa wapo ila hawawezi kupenya kwenye ngome ya mafisadi wa ccm.
  8. H

    Johnson Mbwambo amesema kweli!

    Mimi naona kwamba anayetaka jina la mawaziri watajwe naomba atuletee Garama ya RAIS JK anayotumia na rafiki zake wanaompeleka safari kila kukicha. halafu atuambie matumizi yake pia na mapato yake huko anakopeleka bakuli na atuambie akikinga bakuli lake analeta kiasi gani ?.Huyo BWAMBO ameweza...
  9. H

    Madesa udsm-omba omba mpaka ugaibuni na kiti chake special

    Hii ni aibu tupu kwani huyu JK kwenye mikutano anatumia desa kwenye umatonya anatumia desa .Ni kweli kabisa watu wengi wasio jiamini maranyingi wanatumia tesa tena ukiona desa kubwa kama hii aliyo beba ujue kwamba hawezi kuandaa mujumuisho wa desa lote .Pia inatokana na wasaidizi wake...
  10. H

    Kikwete rudi sasa

    Mimi nadhani anataka kuwa selebrety wa holiwood naona ameenda kuomba application ndio maana anaongea na stiven segal.Watanzania sasa ni wakati wa kujutia uchaguzi tuliofanya kwa mapenzi yetu kumchagua JK mpenda umaarufu angalia anavyo tia haibu kilakukicha yuko kwenye ndege kama mtalii.
  11. H

    Kumwacha ndio suluhisho?

    Wewe unamatatizo kwani usichanganye ndoa na uaggressive wewe unataka mke sio uajibikaji sasa tena bora huyo amesoma alafu ana ka cv sasa je angekuwa hana inamaana usingetaka hata kumwona.Kama ndio udhaifu ni huo tu basi huyo ni mzuri kwelikweli .njoo nikupe pledge.
  12. H

    Ungekuwa wewe ungefanyaje?!

    Huyo mgoni ni bomba hasa kwani analipia na anatumia nafikiri hicho kisa ni mfano wa maadili yaliyo momonyoka kwenye jamii .Hiyo tabia ya kifasadi na wake za watu pia waume za watu nikitu cha kawaida na kinaendelea sawa sawa.Hila huyo jamaa analipia kubwa kwani wengine wanatoa bila malipo pia...
  13. H

    Kwanini Wanawake wanakuwa wavivu kimapenzi katika Ndoa?

    Mimi nimechoka nakawimbo kanapoimbwa hasa wakati tuko 6x6 .Utasikia leo nimechoka ,jana alikuwa anaumwa ,juzi alichelewa kulala ,jana ya jana anasikia joto nahisi niko pabaya,juzi ulichelewa kuja kwahiyo usiniguse?siku zijazo atakwambia kitanda kinapiga kelele,mara kiuno kinaumwa. Mimi hapa...
  14. H

    Kikwete to USA (May 2009)

    JK atuwambie kwenye bakuli letu la ombaomba zimejaa ngapi ?Na atuambie matumizi yake je na ametoa na nani hajatoa mchango ili tujue kama anaweza kupendwa kwa tabia hiyo ili 2010 tuone kama anafaa au tumpe mtu mwingine.
  15. H

    Mattaka the new NIC Director

    Hapo swala la usomi kunawakati mwingine hambao hautakiwi sana kwani atuwezi kuadmit uzembe kwa kusingizia kutosoma au kusoma huo uongo mkubwa.Kuna watu wanavyeti vya ngumbaru lakini wanaweza kufanya maajabu.Kuna watu wamesoma sana lakini elimu yao hazijawasaidia na wala hawana jipya kwahiyo...
Back
Top Bottom