Poleni sana familia ya Kapinga. RIP Mzee Kapinga.
Kwa wale wanaotoa habari za ubaya wake, please hebu acheni na mfikirie majonzi ya mke, watoto na familia yake huu sio wakati wa masimango. Subirini hata kwanza azikwe. licha ya hivyo maadili ya dini zote yanakataza kumsema maiti kwa ubaya.