Mkuu, siyo sekondari tuu! hata chuo kikuu walikuwa 'Room mates' hawa wametoka mbali ati!!thats what friends R 4!!
Ni jambo la busara mtu mzima kuandika kitu ambcho una uhakika nacho; Jakaya na Mattaka hawajawahi kuwa room-mates UDSM, marehemu Eliud Mwandembwa ndio aliwahi kuwa room-mate wa muungwana pale chuo kikuu!1
Utendaji wa mtu unategemea Mfumo(System) uliopo kwenye organization husika.
Walionekana Non-performers, hao hao wakienda kwenye organization zenye system nzuri performance zao zinameet organizastion's expectations or zina exceed the same.
Tujiulize mbona tuna wasomi wengi?,wakipewa hizo nafasi wanashindwa kudeliver.
Wengi wanakuwa hodari kukosoa wanapokuwa nje, tumewapa mashirika na wizara wameshindwa.
TATIZO SIYO MATAKA.
NI SYSTEM zilizopo kwenye mashirika yetu ambazo siyo result-oriented.
Ipi hiyo?ile barua ya kukabidhi ofisi imeondolewa?