Ungekuwa wewe ungefanyaje?!

Bettina

Senior Member
May 3, 2009
102
24
Usichezee nguvu za kike! Huyu ndiye mwanaume rijali!
Amekua muda mrefu akihisi mke wake anamuibia kwa kutembea nje ya ndoa. Akaamua aandae safari feki na kurudi ghafla bila mkewe kutarajia.

Akarudi na Taxi usiku wa manane na aliamua dreva Taxi awe shahidi, akamlipa 100,000 ili waende wote kufumania.

Akanyanyua Bastola, wakanyatia ndani mpaka chumba cha kulala, akaingia yeye na dereva taxi kwa kupanda kwa kamba, akawasha taa na dreva akafunua blanketi alilojifunikia mke wake....wapo wawili!
Mke wa jamaa yu kitandani na mwanaume mwingine!!!

Jamaa akaweka bastola kichwani kwa yule mwanaume mgoni wake, ghafla mke wake akapaza sauti, “Usimuue!
Huyu bwana ametusaidia sana ! Nlikudanganya niliposema nimerithi fedha. Ni yeye alinunua lile Land Cruiser VX nililokununulia, alilipia hii nyumba tunayomiliki sasa, alinipa zile pesa tulikuwa tunadaiwa na benki na analipia tiketi zetu zote tunavyoendaga maonyesho. Ndiye pia anayelipia ada za watoto wetu, hata iyo suti uliyovaa na nyingine. Pia analipa kodi zetu za kila mwezi!”

Huku akiyumbayumba kwa kutoamini, MME AKASHUSHA BASTOLA CHINI, akamtazama dereva, akamuuliza, UNGEFANYA NINI INGEKUWA NI WEWE?

Dreva Taxi akamwambia; “Mfunike bwana, mfunike na hilo blanketi kabla
hajasikia baridi”

Maoni yako?
 
Just walk a way and never go back ili kutunza heshima yako. Ndo mwisho huo. as simple as that and dignified.
 
Mgoni ni mgoni, na mke wa mtu ni mke wa mtu forever.

There is no better explanation to clean him up!

Alambishwe ya kifua fasta, maelezo mbele ya safari...

Kama ni umasikini, bora kufa nao, kuliko kudhalilika.
 
Just walk a way and never go back ili kutunza heshima yako. Ndo mwisho huo. as simple as that and dignified.

Nah.... Just shoot the M*******r in the a$$ and run; ...never come back
 
Huyo mgoni ni bomba hasa kwani analipia na anatumia nafikiri hicho kisa ni mfano wa maadili yaliyo momonyoka kwenye jamii .Hiyo tabia ya kifasadi na wake za watu pia waume za watu nikitu cha kawaida na kinaendelea sawa sawa.Hila huyo jamaa analipia kubwa kwani wengine wanatoa bila malipo pia kuna watu wamejengea wake za watu nyumba pia wamewasomesha na hata wenye mali wakijua hakuna lakufanya. bora aendelee lakini isijulikane.Hali hiyo sio umasikini ila ni Tabia za baadhi za watu wasioridhika haina dawa is your choice to move out or to remain cool and let the guy enjoy.
 
ninge kuwa mimi mngoni wangu na ugawanya ubongo wake vipande vipande.
 
duhhhhhhh,imetulia mkuu,dereva tax anajaribu kumfanya amueshimu anayemweka mjini,duuhh itabidi amfunike asipate baridi mkuu
 
Hata kama anamla huyu mkeo ahamalizi utamu, mfunike tu na blanket asipate baridi ikamsababishia homa akashindwa kutafuta kutafuta na wewe ukashindwa kuendesha VX
 
Hii kali!! hayo ni matokeo yakupenda vya bure kumbe mke anavigharamia...
 
Aaaaagh,, Ningekuwa mimi hapo lazima ningehakikisha namla mke wa huyo Mgoni, tena namshikisha ukuta kabisa.....

Damn!
 
Hayo ni mambo ambayo tunaomba mungu yasije yakatutokea.... ila yakitokea you be a man and walk away
 
Mie ningechukua watoto na kuondoka....I have my pride....nita-struggle mwenyewe kufanikisha kwa watoto wangu....yeye mama na aendelee na mauroda ....ameshajivunjia heshima na pia ameshauondoa uaminifu.......Lakini.....kabla ya kuondoka......ningetembeza kibano kwao wote wawili.
 
Mie ningechukua watoto na kuondoka....
Duh tatizo jamaa inaonekana ni mbia, sasa inawezekana kabisaa hata watoto ni wake atii au wa jamaa mwingine mwenye nazo.
I have my pride....nita-struggle mwenyewe kufanikisha kwa watoto wangu....yeye mama na aendelee na mauroda ....ameshajivunjia heshima na pia ameshauondoa uaminifu.......Lakini.....kabla ya kuondoka..
Ningebeba vyeti vyangu na kuondoka kila kitu nakiacha
....ningetembeza kibano kwao wote wawili.
Wala hakuna haja ya kupigana niambie kosa ni la nani? wewe kutokua na uwezo wa kuprovide hivyo vitu?
Tamaa ya mkeo?
Au jamaa mwenye kupenda vya wenziwe?
Itabidi uazime ustaarabu na neema ya Almighty God tu maana hakuna mbadala wowote zaidi ya kubwaga manyanga kimya kimya wakajisifie umaruhuni wao.
 
Mie ningechukua watoto na kuondoka....I have my pride....nita-struggle mwenyewe kufanikisha kwa watoto wangu....yeye mama na aendelee na mauroda ....ameshajivunjia heshima na pia ameshauondoa uaminifu.......Lakini.....kabla ya kuondoka......ningetembeza kibano kwao wote wawili.

Kwa mazingira kama haya i doubt kwamba hata watoto wanaweza kuwa siyo wako.
 
Usichezee nguvu za kike! Huyu ndiye mwanaume rijali!
Amekua muda mrefu akihisi mke wake anamuibia kwa kutembea nje ya ndoa. Akaamua aandae safari feki na kurudi ghafla bila mkewe kutarajia.

Akarudi na Taxi usiku wa manane na aliamua dreva Taxi awe shahidi, akamlipa 100,000 ili waende wote kufumania.

Akanyanyua Bastola, wakanyatia ndani mpaka chumba cha kulala, akaingia yeye na dereva taxi kwa kupanda kwa kamba, akawasha taa na dreva akafunua blanketi alilojifunikia mke wake....wapo wawili!
Mke wa jamaa yu kitandani na mwanaume mwingine!!!

Jamaa akaweka bastola kichwani kwa yule mwanaume mgoni wake, ghafla mke wake akapaza sauti, “Usimuue!
Huyu bwana ametusaidia sana ! Nlikudanganya niliposema nimerithi fedha. Ni yeye alinunua lile Land Cruiser VX nililokununulia, alilipia hii nyumba tunayomiliki sasa, alinipa zile pesa tulikuwa tunadaiwa na benki na analipia tiketi zetu zote tunavyoendaga maonyesho. Ndiye pia anayelipia ada za watoto wetu, hata iyo suti uliyovaa na nyingine. Pia analipa kodi zetu za kila mwezi!”

Huku akiyumbayumba kwa kutoamini, MME AKASHUSHA BASTOLA CHINI, akamtazama dereva, akamuuliza, UNGEFANYA NINI INGEKUWA NI WEWE?

Dreva Taxi akamwambia; “Mfunike bwana, mfunike na hilo blanketi kabla
hajasikia baridi”

Maoni yako?
Siwezi kua na mke kama huyo!!
 
yote hayo sababu ya waume kuzembea na kuwapa wake zetu eti ekual ryts.sijaona gemu ikienda sare kati ya mume na mke.ashindae ndio mume kawaida.kwa iyo jamaa naona nae akiendelea ataishia kuolewa.wanaume amkeni ukichekea nyani kawaida utavuna mabua na usiombe taxi dreva kugundua,utachekwaaaaaah!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom