Kwanini Wanawake wanakuwa wavivu kimapenzi katika Ndoa?

...kwani, kwa 'kawaida' tuliooa inakubalika tujamiiane mara ngapi na mwenzi wako katika wiki moja (kwa mfano?)

Umri pia ni muhimu maana kama miaka imeenda basi itakuwa ni mara chache kulinganisha na vijana. Halafu pia kuna wiki mnaweza kufanya mara nyingi kuliko wiki nyingine. Kwa maoni yangu at least mara nne kwa wiki, lakini wako wanaokwenda hadi mara tatu kwa siku asubuhi, mchana na jioni lazima wapate dose zao za kila siku au hakieleweki na hapatatosha ndani ya nyumba :)
 
...kwani, kwa 'kawaida' tuliooa inakubalika tujamiiane mara ngapi na mwenzi wako katika wiki moja (kwa mfano?)

Hakuna fomula!

Pia kuna vitu vingi vinavyoweza kuathiri hamu, uwezo na uamuzi wa kufanya mapenzi:

- Mazingira (je mazingira yanawapa uhuru/usiri wa kutosha?)
- Aina ya kazi mnazofanya (zinawachosha sana physically au mentally?)
- Aina ya vyakula mnavyokula au vinywaji (vingine vinasupress hamu ya tendo!)
- Umri (especially wa mwanaume!)
- Hali ya afya
- Cycle ya mwanake (jinsi hormones zinavyobadilika katika mwezi)
- Uhusiano kwa ujumla (kwa mfano ugomvi wa mara kwa mara)
- Ni ndoa ya mke mmoja au wengi ( kama wengi lazima kutakuwa na zamu tu!)
- Nk nk...

Ni lazima tuelewe pia matatizo katika ndoa nyingi sio 'quantity'(i.e. number of times!) bali ni 'quality' (how you perform the act)!.
 
Last edited:
Sidhani kama kuna formular kwamba nahesabu week hii zimekuwa tatu bado moja.......mapenzi ni kujiachia all da tyme mmoja wapo akijisikia basi amhamasishe mwenzake mechi ipigwe hata kama ni mara 10 kwa siku ama moja kwa mwezi kama wote mko radhi.....wachagga bwana kuna jamaa alikuwa na mke wa kimarangu jamaa anapenda mpingo almost everyday...yule mdada akaenda lalamika ukweni huyu Luhende anataka kunifanya kila siku hajui hii K yangu itachakaa jamani? wazee wakakwambia haichakai hiyo inakuwa mpya kila siku wewe mpatie Luhende kadri atavyo....mhhhh...
 
Ukiona mkeo mvivu wa mapenzi ujue tatizo liko kwako mume, kama mtu humfurahishi kimapenzi au unamwacha njiani humfikishi kwenye kilele lazima ataona kufanya mapenzi ni karaha na kuanza visababu kama hivyo mara nimechoka au sijisikii vizuri leo ilimradi tu atoe sababu.
kuna wanaume wao wanataka penzi tu kutoka kwa mke, hawana hata muda wa kucheza na mke wake.
katika huo utafiti wako jaribu kutafuta sababu ni nn haswa cha kufanya wanawake kutoa visingizio vya uchovu.
Ebu fafanua ni mchezo wa aina gani kwani wakati mwingine mpenzi wa ndoa hubadilika hata mchezo wowote hataki,lakini haya hayapo kwa wapenzi wa nje ya ndoa au kwa vile wale wanaiba.
 
Ebu fafanua ni mchezo wa aina gani kwani wakati mwingine mpenzi wa ndoa hubadilika hata mchezo wowote hataki,lakini haya hayapo kwa wapenzi wa nje ya ndoa au kwa vile wale wanaiba.

acheni kudanganyana hata kwa huyo kimada ukimto*** kila siku utasikia hayo hayo kachoka...msiwasingizie wake wa ndoa babu eee!
 
Last edited by a moderator:
Sijui katika mzani ni akina nani (wanawake/wanaume?) wanalalamika zaidi kuwa upande upi ndio kero zaidi ktk mambo ya 6x6? Kero in the sense hawatoi ushirikiano vya kutosha. Sijaoa and I practice that thing really rarely....sina experience.
 
Mimi nimechoka nakawimbo kanapoimbwa hasa wakati tuko 6x6 .Utasikia leo nimechoka ,jana alikuwa anaumwa ,juzi alichelewa kulala ,jana ya jana anasikia joto nahisi niko pabaya,juzi ulichelewa kuja kwahiyo usiniguse?siku zijazo atakwambia kitanda kinapiga kelele,mara kiuno kinaumwa.

Mimi hapa nimefikia huamuzi wa kupata nyumba ndogo ili huyu mwenzangu apate advocate wa kumpatanisha na mimi. Na baada ya hapo migogoro imeisha ila sasa matokeo ya nyumba ndogo ndio sijui huko baadaye lakini nikobomba.na sababu zimeisha.
Kwa maana hiyo inapobidi kutafuta pembeni sio mbaya ila ukubali matokeo.
 
...kwani, kwa 'kawaida' tuliooa inakubalika tujamiiane mara ngapi na mwenzi wako katika wiki moja (kwa mfano?)
Hii swala huwa inakuwa haina ratiba, kama mwanamke au mwanamme anapojisika ndio hapo hapo analianzisha.
 
It takes two to tango. Makosa yanakua ya wote. Unajua usipo muambia mtu kuna tatizo fulani basi hata wewe una kosa. Nimesoma article inayo sema kuwa wanawake ni wagumu kuopen up na mara nyingi huumia kisa wanaweka mambo ndani. Kama unaona mumeo kuna vitu hakufanyii na ungependa akufanyie umemueleza? Mtu hawezi kusoma kilichopo moyoni mwako. Kumbuka kama mwenzio haoni kuwa anafanya kosa lolote basi hawezi jirekebisha, ni mpaka hapo utakapo muambia. Wanaume wengine nakubali wanakua ni selfish na wana jiangalia wenyewe lakini na mama nae lazima aseme.

Tabu ya wakina mama saa nyingine ni wanadhani foreplay ni kazi ya mwanaume tu. Kwao ni kazi ya mwanaume kuanza uchokozi wa kimapenzi na kadhalika lakini pia mama anaweza akaanzisha mambo. Nadhani ndiyo hapo uvivu wa wanawake unapo ingia. Hauwezi kutegemea mwanaume ndiyo kila saa awe mbunifu na aanzishe mchezo. Sijui hii hutokana na kwamba mwanaume ndiyo anakua mara nyingi wa kumapproach mwanamke kwa hiyo wanawake wameji jengia akilini kuwa mwanaume ndiyo lazima a-initiate kila kitu sijui. Mapenzi ni kati ya wawili kwa hiyo ina hitajika bidii ya wote wawili.

Kuhusu kufanya mara ngapi hiyo inakua kitu spontaneous. If the mood is right & you are both capable you can do it any number of times. Kwa maana hiyo hautakiwi kuforce kwa kusema ni lazima kwa wiki au siku tufanye mara ngapi ndiyo hayo yote ya kaunza kuchokana na kuona tendo lenyewe ni kahara.

If the love life is good non of you will think of cheating. Kama utasema tu mumeo anaboa basi nitatoa visingizio vya kutokumpa basi umefungua mlango wazi kwa wengine kuingia. Kama utamniyma basi usi lalamike aki tafuta kuingine. Kama kuna tatizo talk with him to solve the problem lakini hiyo ya sijui kichwa kuumwa au kuchoka atatoka nje kila siku na utaletea hadi magonjwa ndani. Even if his at fault ongea nae muimprove tendo lenyewe, maana ya kuwa mke na mume si kushirikiana na kusaidiana katika kila kitu?
 
mkiwa bado wachanga katika ndoa mwaweza kutana hata kila siku, lakini jinsi siku zinavyokwenda mtajikuta mnapunguza kukutana mpaka inaweza pita hata wiki na hatimaye mwezi msikutane. Ndoa inatakiwa ipaliliwe kwa kukutana mara kwa mara ndio ukaribu wenyewe, vinginevyo mnasahalianana hamu inakuwa hakuna mnakuwa kaka na dada
 
Back
Top Bottom