Madesa udsm-omba omba mpaka ugaibuni na kiti chake special | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madesa udsm-omba omba mpaka ugaibuni na kiti chake special

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kokolo, May 23, 2009.

 1. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2009
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 487
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Elimu ya Tanzania tunafundishwa kupata A, B, C kuajiliwa na kuvaa tai kuonekana umesoma na kuelimika kumbe ni bure kabisa. Angalia Kikwete, anavyokula desa mbele ya Rais wa Marekani- Mr, Obama, hapo Obama anajiuliza mara tatu tatu, kama kweli huyu mtu ni Rais wa nchi, nasikia alimpa copy ya notice alizokuwa anasoma kueleza matatizo ya Tanzania " Aaaaa you know Mr. President my country need your help, we have deficit of foreign currency to run our budget, we have shortage of medicine, power, etc.

  Kiti chake na sehemu yake ya kukaa alishaandaliwa toka kipindi cha Bush, wanajua atakuja tena na tena na tena " Aaaaa you know Mr. President my country need your help".
   

  Attached Files:

 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Library zijae vitabu vya kutosha toka shule za msingi mapaka elimu ya juu,walimu waache kuwa wavivu na kuhakikisha wanafunzi wanasoma na kuelewa, elimu iwe kipaumbele cha Taifa toka ngazi ya chini mpaka chuo kikuu, otherwise we can't run away from madesa mana elimu yenyewe tumeungaunga tu.Binafsi nayachukia sana madesa...watu wamesoma na pass mark nzuri, lakini hawajiaminiamini..chunguza vizuri. Muda mrefu ulitumika kusolve madesa na sio kusoma vitabu vingi tofautitofauti
   
 3. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Waalimu hawawezi kufanya kazi zao vizuri kama wana njaa. Ni vicious cycle ambayo tumeingizwa na siasa mbovu na uongozi mbovu. Kila kitu inabidi kianze upya "square one", kudai uhuru toka kwa mafisadi then kujenga nchi upya.
   
 4. M

  Msakwa Chimagai Member

  #4
  May 23, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli tuna kazi. Tunahitaji kwanza kujikomboa kifra. Bila hivyo hatufiki mbali. It is impossible!
   
 5. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Yaani kokolo nimecheka kweli.. mbavu sina..
  Yaani hata hivo kaboa bwana wenzie walau huwa wanakuwa na note book nzuri sasa yeye kabeba kabisaaaaaa boooonge la risala kufanya umatonya! aibu kubwa!
   
 6. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2009
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,872
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Ni kwa sababu ni Kilaza. Mbona Julius alikuwa hatumii Desa hata kidogo!
   
 7. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwani kipindi JK anasoma UDSM kulikuwa hakuna vitabu na wahadhiri wa kutosha?? Msimdhalilishe mkuu wa nchi. hiyo ni style yake ya kuweka msisitizo katika kuomba msaada.
   
 8. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  President serious issues zinakuwa kwenye fingertips, pale JK kaonyesha udhaifu wa hali ya juu
   
 9. Mpandafarasi

  Mpandafarasi Member

  #9
  May 24, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Kwa kifupi JK alipoulizwa kwanini nchi yake ni maskini, alijibu kuwa hata yeye hajui. Sasa mnashangaa nini kama anatumia desa?


  Nawakilisha
   
 10. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tushamzoea msela ndio zake kuharibu.
   
 11. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  ..........,
  Tatizo ni UDSM na vyuo vingine hapa TZ.
  Nyerere kwani alisoma UDSM?
  Kama tatizo ni vyuo vyetu na madesa,chanzo ni nini?
  Viongozi/wapanga sera ndio walaumiwe maana baada ya kusomeshwa nje ya nchi na kupata elimu ambayo inawawezesha kufikiri vyema hata kama haiendani na mazingira yetu waliamua kwa makusudi kutoendeleza taasisi za elimu TZ wakihofia kuondolewa kwenye nafasi zao na wasomi wapya lakini wakakataa kujikumbusha kuwa hawatakuepo duniani miaka yote kama ilivyo TANZANIA
   
 12. H

  Hondo Member

  #12
  May 24, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni aibu tupu kwani huyu JK kwenye mikutano anatumia desa kwenye umatonya anatumia desa .Ni kweli kabisa watu wengi wasio jiamini maranyingi wanatumia tesa tena ukiona desa kubwa kama hii aliyo beba ujue kwamba hawezi kuandaa mujumuisho wa desa lote .Pia inatokana na wasaidizi wake wangemkerimisha kwanza aikerime hiyo desa .
   
 13. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ee bwana eeh!
  Halafu hiyo body language ya Obama says a lot.
   
 14. S

  SHAMTE Member

  #14
  May 25, 2009
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona jamani hii attachment haifunguki?
   
 15. S

  SHAMTE Member

  #15
  May 25, 2009
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamanie, ninaomba msaada wa kufungua hii document
   
 16. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Umeweza kui-download?
  Can you open any other pdf file? Kama haifunguki pengine ni kwa sababu huna acrobat reader kwenye computer yako. It is free, you can find it on the Internet.

  In the meantime, cheki hapa utaona moja ya hizo picha:
  http://issamichuzi.blogspot.com/2009/05/jk-atinga-white-house.html
   
 17. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Unaweza ukacheka mpaka uanguke na kiti chako:

  Tarehe May 22, 2009 4:17 AM, Mtoa Maoni: [​IMG] Anonymous
  mtalii anajua vivutio vyoote vya US. kile kivutio kipya kinachitwa Obama ndio pekee alikuwa hajakitembelea marekani, lakini sasa na chenyewe keshakitembelea.

  Ningependa kumshauri tu kwamba kuna kivutio kimoja kikubwa sana tanzania anastahili kukitembelea pia!! kivutio hicho kinaitwa Watanzania wanaoizomea CCM busanda inabidi akitembelee na hicho ili aone muziki munene zomeazomea ulivyo!! manake huku busanda ni kivutio tosha cha utalii. akipanda malecela anazomewa, anashuka anampisha ngeleja nae anazomewa, anashuka anampisha Kilango nae anazomewa, anashuka anampisha tambwe hiza nae anazomewa, wote kwa pamoja wanaona soo isiwe tabu wanakimbilia bushi kugawa vyandarua!!!!

  anapanda mbowe anashangiliwa, anashuka anampisha zitto nae anashangiliwa, anashuka anampisha mgombea Magesa anashangiliwa na kuambiwa hakika wewe ni mkombozi, wote kwa pamoja wanaelemewa na furaha wanaelemewa na kurakiwa, wanaamua kupanda helikopta yao ili waondoke na helikopta na yenyewe inashangiliwa!!! wanatua kijiji kingine na kwenyewe yaleyale.

  Yaani wandugu huku Busanda raha tupu, yaani bajameni ni utalii tosha, kikwete ukitoka huko njoo basi na huku tukuzomee na wewe basi wajameni!!! tumezomea wote yani sasa tunakumiss wewe tu!!!

  Wenu niliyewahi kutesa maishani.
  MACMUGA. Jobegi mpaka TZ.
  Ahsanteni.

   
 18. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  Mkuu hii avator ni ya kicheni pati nini wangu. Yaani imeniduwaza. Mdada anajua mavituzis au ni geresha ya kukata mauno tu hiyo mkuu. Unajua wengine humu tukiona tu hayo tunashindwa kabisa kuvumilia.
   
Loading...