Recent content by cheusimangala_

  1. cheusimangala_

    DGIS Diwan Athuman jiulize DDGIS Makungu alitumbuliwa au alipelekwa Tabora kujinoa kushika hatamu?

    teeeh teeh my dear tatizo aliifuta ile threads alfu ubaya kajiona kajificha wakati yupo mwaaa
  2. cheusimangala_

    DGIS Diwan Athuman jiulize DDGIS Makungu alitumbuliwa au alipelekwa Tabora kujinoa kushika hatamu?

    hayo ni mawazo yako my dear na pole sana kwa maumivu uliyoyapata. embu turudishie threads yetu uliyoifuta kwa sababu kuna vitu vyako vizuri nlitaka nkujibu na nkuforwadie na kaaudio kako alfu naomba simu yako jitahidi kuiacha on ntakupigia siyo muda
  3. cheusimangala_

    Askofu Chiwanga: Magufuli awaambukize ukali watendaji wa chini

    Jina la Askofu Simon Chiwanga (81) si geni masikioni mwa wengi, hasa waliokula chumvi kiasi. Aliwahi kuwa mwalimu, mwanasiasa na mjumbe wa kamati kuu CCM, Mkurugenzi Shirika la Elimu la Kibaha na amemaliza utumishi akiwa Askofu wa Kanisa la Anglikana akiwa ndiye mwanzilishi wa Dayosisi ya...
  4. cheusimangala_

    Bandari za Tanzania bado zitabaki kuwa suluhisho kwa waagizaji wa mafuta Afrika

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (Tanzania Ports Authority) ni shirika la umma linalofanya kazi zake chini ya Wizara ya Miundombinu. Na ina jukumu zima la kuongoza na kuendesha bandari za bahari na maziwa ya nchini Tanzania. Mamlaka hiyo ipo mjini Dar es Salaam na ni bandari mwanachama wa Jumuia...
  5. cheusimangala_

    Ulinzi na usalama ni wajibu wa kila mwananchi

    Usalama ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya jamii katika ngazi zote, na kwa hakika hakuna jamii ambayo itajivuna kupata mwelekeo wa maendeleo kama kwao usalama haupo. Ndio maana sasa wananchi wengi wanafahamu kuwa ili uzalishaji ufanyike kwa matumaini ya kuwa na maendeleo, lazima ulinzi wa...
  6. cheusimangala_

    Michezo ni chachu ya muungano wa Tanzania

    APRILI 26 mwaka huu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaadhimisha miaka 54 ya Muungano, tangu kuungana kwa iliyokuwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na ile ya Tanganyika, na kupata jina moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano huo ulisimamiwa vyema chini ya viongozi wawili marehemu mzee...
  7. cheusimangala_

    Kuna faida nyingi zaidi kwenye muungano

    WATANZANIA tunaadhimisha muungano ikiwa ni hatua madhubuti ya kuenzi jitihada zilizotekelezwa na waasisi wa taifa hili, marehemu mzee Abeid Amani Karume na hayati Mwalimu Julius Nyerere. Siku ya muungano inaadhimishwa kutafakari mafanikio kutokana na tendo la muungano na changamoto...
  8. cheusimangala_

    Masauni aliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa vyama vya msingi waliotoroka na bilioni 1.2 za wakulima wa korosho

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Newala baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Aziza Mangosongo. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni...
  9. cheusimangala_

    Wajibu wa Jeshi la Polisi katika Chaguzi za Kidemokrasia

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalinda Haki za Binadamu za kila mtu katika nchi hii. Hii inajumuisha haki ya kupiga kura, uhuru wa kujieleza na uhuru wa kujumuika. Chaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia. Wananchi wote bila ubaguzi wana haki ya kuamua na kuchagua viongozi na...
  10. cheusimangala_

    Jamii kuchanganya kati ya kampeni za uchaguzi na kufanya mikutano ya kisiasa

    kampeni za uchaguzi ni njia ya mgombea wa kiti cha urais, ubunge na udiwani au chama chake au wakala wake kuwasiliana na wapiga kura na kuwaeleza sera zake kwa ajili ya kuomba ridhaa yao ya kuchaguliwa kuwawakilisha. Kama hiyo haitoshi tuliona kuwa utaratibu wa kampeni za wagombea urais...
Back
Top Bottom