Recent content by Berenice

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naoa hivi karibuni.msaada plz,ni wapi naweza pata huduma hizi?

    Kuna ndugu yangu yupo chan'gombe mchicha anakodisha kwa bei rahisi kbs na ni mashela mazuri sana. Contact 0716847795
  2. B

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Sam Mahela awe mfanyakazi bora 2012/2013

    Ni kweli anastahili kwa namna alivyofanya bila kuona kinyaa. Big up Sam.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nina dish la eurostar na receiver ya gulf star

    Nina dish la eurostar na receiver ya gulfstar nawezaje kupata local channel? Naomba msaada wenu
  4. B

    JamiiForums Tanzania KING' AMUZI cha STARTIME MFT930

    Nina dish la eurostar na receiver ya gulfstar nitawezaje kupata local channel?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    Naomba Mungu akuponye kabisa mana alikutoa Pande kwa makusudi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa kujigongesha kwenye gari bado waendelea!

    Mmh! Makubwa haya? Binadam ana2mia kila njia ili aendelee kuishi bongo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nigraduate wa mechanical engneering 2006 with experience . Naomba wadau watakaoona tangazo lako wanipm tafadhali. Niko dar with my family. Be blessed wadau
  8. B

    JamiiForums Tanzania Steven Kanumba: Has a Very Touching Story!

    Rip Kanumba
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Makubwa du! Hawa wabunge wa std 7 wanafanya nn bungeni?
  10. B

    JamiiForums Tanzania NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

    Hamia kabisa cdm
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Chadema Hongera Lusinde

    Lusinde ulidhani haki haitatendeka?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Picha za Leo Mkutano wa CDM Tengeru Arusha

    Naomba Mungu uchaguzi ufanyike kwa amani. Ila magamba waache kabisa mchezo wa kuchakachua kura.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

    Bwana ametoa na ametwaa Jina lake libarikiwe.Mungu awape faraja ya kipekee
  14. B

    JamiiForums Tanzania Muundo mpya wa utumishi kwa wakufunzi wa vyuo

    Mi napita 2 mana siielewi serikali au baadae mtaambiwa muidai serikali
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tigo acheni wizi wa kijinga,nafungua kesi ya madai

    Ni kama mwezi wananitumia jumbe ambazo sijajiunga na kunikata hela. Cha ajabu ukisema ondoa wanajibu itatoka baada ya masaa 24 lakini hali ni ileile. Am tired with u Tigo
Back
Top Bottom