NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGAMBA MATATU, Apr 2, 2012.

 1. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NEC Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw.Nape Nnauye akiongea na waandishi wa habari leo katika ofisi ndogo ya chama hicho zilizopo mtaa wa lumumba jijini Dar es salaam, juu ya uchaguzi mdogo wa ubunge ulifanyika jana katika jimbo la Arumeru mashariki, ambapo mgombea wa CHADEMA Joshua Nasari ameibuka mshindi kwa kura 32.972, chama cha mapinduzi kimekubali matokeo hayo yaliotangawa na Tume ya uchaguzi leo asubuhi


  Nape kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi amempongeza kijana Nasari na kusema "Tunampongeza Joshua Nasari na hakuna hujuma yoyote uchaguzi ulikuwa huru na haki", lakini pia akawapongeza wananchi wa jimbo la Arumeru kwani hiyo ndiyo Demokrasia yao.

  NIMEAMUA KUTUMIA VAZI LA CHADEMA KWA KUWA NALIPENDA ; NIMEKOSA UVUMILIVU, KIDUMU CCM

   
 2. B

  Berenice Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamia kabisa cdm
   
 3. f

  frenki katto Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmmh mi sisemi
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  hana jipya, Mzee Makamba na timu yake walikuwa ma failures, ila hawakuvunja rekodi,
  am telling you, Hawa waakina nape wataharabu mara 50 zaidi hata ya akina Makamba na Kichaa wake Tambwe Hiza
   
 5. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nao huu ni uungwana japo kidogo
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,462
  Trophy Points: 280
  Nappe mwili ccm roho chadema.
   
 7. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hatufiki 2015 ama nape atahamia cdm au ataachana na siasa uchwara
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mwache aendelee kukaa CCM,ili ajenge Upinzani!!!
   
 9. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Atahamia tu mda c mrefu, anajiandaa kisaikolojia kwanza.
   
 10. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Love it. Welcome Nape I know u kaka 50 CCM 50 Chadema. Ila tunataka uwe Mia Kwa Mungu(CHADEMA), achana na hao wezi watakufikisha motoni
   
 11. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Nape ameshaichoka Magamba kwani alichokuwa anakipigania Magamba hakitekelezeki , anaambulia matusi na fedhea.Anakaribisha kambi ya wapiganaji wa kweli.
   
 12. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Na January anamuogopa baba yake but anaitaka sana Chadema
   
 13. o

  omokaruka mwikizo Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Nape yuko CCM kimwili roho yake inapenda CDM au chama kingine na sio CCM
   
 14. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mie huwa namuonea sana huruma nape anavyoandamwa hapa na wanajf ila hajiulizi ni kwanini!
   
 15. n

  nketi JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Waacheni waweweseke, itafahamika tu. Jana tumemsikia six anaponda ccm, juzi tulisikia mwakyembe anafanya maandalizi ya mwisho kuhamia cdm, leo nape.
  Nawashauri waunde ccj nyingine ila wawe serious kuliko kipindi kile.
   
 16. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sure! Maana huyu jamaa washikaji wake ni mnyika na zitto!na wa mwelekeo unaofanana kabisa! Atakuwa fired muda si mrefu!
   
 17. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  karibu CDM
   
 18. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Honestly zamani nilikuwa nakuaminia sana Nape ila tangu upewe hilo jicheo baaaaaaasi mitizamo yako ikawa inapotea welekeo na maneno yako yakawa si matendo yako! Wewe ni kijana sana na ninajua hunaugonvi na CDM nakushauri tu ujipange ili baadae uje uunganishe nguvu kukomboa hii nchi. I know you know better than me jinsi nchi inavyotafunwa na mpaka sasa na ninavyojua mimi ni kwamba wewe si mmoja wa walioifilisi nchi hivyo kuhamia cdm hakutakutia hatiani bali utakuwa umeamua kwa maslahi ya nchi
   
 19. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndio mambo ya kufata hulka za baba,harufu ya magamba kupata pigo na kuondokewa na kijana wao Nape kasoma alama za nyakati.
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Gwanda lake feki, sie chadema huwa twatumia rangi hiyo kwenye misiba!
   
Loading...