Hongera Chadema Hongera Lusinde | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Chadema Hongera Lusinde

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mpayukaji, Apr 2, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Tulisema mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya iddtukaonekana wajinga. Mshahara wa dhambi ni mauti na mshahara wa matusi ni aibu.Hongera CHADEMA kufanya kampeni za kistaarabu na hongera Lusinde kwa kuwafukuzawapiga kura kwa mitusi yako ya nguoni. Halo halo!
   
 2. B

  Berenice Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lusinde ulidhani haki haitatendeka?
   
 3. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lusinde Amechangia asilimia 50 wa ushindi wa Chadema..! Safi sana Lusinde
   
 4. C

  Copa Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Huyu Lusinde hata km asingetukana bado ushindi ulikuwa ni upande wetu tu, sema yeye alituongezea wapiga kura
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  LUSINDE HAKUJUA KUNA NDIZI(MIGOMBA) ISIYO YA KIJANI

  [​IMG]
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. C

  Copa Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Huyu Lusinde hata km asingetukana bado ushindi ulikuwa ni upande wetu tu, sema yeye alituongezea wapiga kura
   
Loading...