Nina dish la eurostar na receiver ya gulf star

Berenice

Member
Jul 22, 2011
19
4
Nina dish la eurostar na receiver ya gulfstar nawezaje kupata local channel? Naomba msaada wenu
 
Sasa unataka msaada gani kati ya
1. Ku assemble dish na arrangement zote za vifaa au
2. Jinsi ya kusearch channels
 
kwa local chanels elekeza dish lako liangalie Intelsat 64°E hapo utapata all local channels kwa LNB ya C band
 
Back
Top Bottom