Utapeli wa kujigongesha kwenye gari bado waendelea! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utapeli wa kujigongesha kwenye gari bado waendelea!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mwanamapinduko, Apr 17, 2012.

 1. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Leo nilikwenda kumtembelea jamaa yangu kimara b maduka saba. Wakati natoka huko taratibu kwenye kagari kangu, kuelekea temboni kuna mtu akaanguka kama nimemgonga na alikuwa na bandage kama mtu aliyetoka kuwekewa drip. Nikasimama na cha ajabu akaniwahi kuniambia nimpeleke hosp bila hata kuchukuea pf3, kufika karibu na hosp akaomba nimshushe tu na nimpe hela atajitibu mwenyewe. Hapo ndio nikashitukia janja yake. Kwani hata hiyo bandage aliyofunga ukiichunguza ni ya muda mrefu.
   
 2. B

  Berenice Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh! Makubwa haya? Binadam ana2mia kila njia ili aendelee kuishi bongo
   
 3. m

  missilicious Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  njaa hiyo jaman sijui hata tumlaumu nani
   
Loading...