Kesho anafanyiwa operation na nani?kwani si bado wamegoma?kama wamerudi kazini na mimi mgonjwa wangu niliyemrudisha nyumbani nimpeleke kesho akafanyiwe operation.
Madakatari wamewnunua wenyewe vifaa vinavyohitajika ili kumfanyia operesheni kumbuka katika bajeti hii inayojadiliwa bungeni wizara ya afya iliomba Bilioni 198 kununulia masawa kwa ajili ya hospitali hapa nchini lakin i wkatengewa Bilioni 78 tu pungufu ikiwa ni Bilioni 120; ilihali fedha za posho na safari zimeongezeka kufikia bilioni 500