Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!

Spika, naomba nikupe pole kwa msiba uliowafika wewe na familia yako.
Mungu wa faraja awafariji.
Amen
 
Inatia sana uchungu!...Inagharimu kuwa na mtoto kuonja bitterness anayoipata Spika.
Spika, amini kuwa ni mpango wa Mungu, hata kama ulikumbana na maswahibu ya kukatisha tamaa kule muhimbili.
Naamini watu wa Dar wataungana nawe katika kukufariji na kukutia moyo, japo hadi muda huu sijaona aliyeweka wazi.
Mungu akupe ujasiri wa pekee kukabiliana na wimbi hili zito la kibinadamu, na ailaze pema roho ya marehemu mwanao.
 
be strong, review and revive your energy at this time of grief

we share the sorrow of the demise of your beloved one

Almighty God rest His/Her soul in eternal peace
 
Inatia sana uchungu!...Inagharimu kuwa na mtoto kuonja bitterness anayoipata Spika.
Spika, amini kuwa ni mpango wa Mungu, hata kama ulikumbana na maswahibu ya kukatisha tamaa kule muhimbili.
Naamini watu wa Dar wataungana nawe katika kukufariji na kukutia moyo, japo hadi muda huu sijaona aliyeweka wazi.
Mungu akupe ujasiri wa pekee kukabiliana na wimbi hili zito la kibinadamu, na ailaze pema roho ya marehemu mwanao.

Mkuu!

Mi mpaka leo nashangaaga sana wanaJF wa Dar hawana WING wanaishia kwenye mtandao tu Mi ningefurahi sana ningekuwa nawasikia wako pamoja lakini hakunaga kitu kama hicho.

Ushauri wangu:
Ningekuwa leo Dar ningeanzisha (DAR ES SALAAM JF WING) hata kama tungekuwa watano bila shaka wengine wangetutafuta tu.

Jiji hilo halipendezi kabisa libaki na uwazi huu wa kutokuwa na UMOJA HUU WA WANAJF.

Ni pendekezo yangu tu!

PAMOJA DAIMA!!
 
Pole sana mkuu kwa kuondokewa na mwanao,Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.
 
Back
Top Bottom